Babaa matatooo....

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,841
Wifi yangu kipenzi nilimpa mwaliko easter, Tukiwa kwenye stori akanikatiza........Stori inaanza hivi,

"Hivi wifi unajua baada ya kakako kuniacha sahizi nimepata bwana mwingine?Huyu bwana toka Mombasa, Lakini huyu bwana shoga ananiacha hoiii matatooo mwili mzima! niliyachunguza sana nikagundua Kifuani na Mgongoni Kachora sura ya MWANAUME,..nilishituka nikamuuliza hii sura ya nani,akanijibu,sura ya marehemu kaka yangu eti alikuwa anampenda sana...wifi hii habari ya kweli unavyoona mwenzangu?"
Nikacheka nikamjibu "wifi yangu bora usimchunguze sana bata maana ukitaka ukweli utakutana na mazito zaidi"

Lakini mi baada ya kukaa sana na kutafakari kwakweli siamini et mtu nduguyo marehem umempenda sana ndo umchore mwilini? tena mwanaume .....

Hebu jamani members Kwa kahabari haka huyu jamaa vipi? mana mombasa nako mhhhh/......
 
Reactions: amu
Ndio kuna uwezekano wa kumchora nduguyo marehemu mwili ni kama njia ya kumuenzi na kumkumbuka…lakini sio lazima,ni ishara pia walikuwa na ukaribu sana…Ukaribu wa vipi hio sijui…..na sitaki kufikiria lol kwasababu assumptions zinaweza kuwa nyingi,matumaini yangu nimetoa mchango wa msaada kwako :smiling:
 
Ya Mombasa mengi sana Vaislay.

Umenikumbusha tukiwa primary, jamaa mmoja alikua mbele yetu (darasa la saba) akapotea kama wiki hivi haonekani nyumbani. Kumbe bhana kuna Jirani yao alikuaga mombasa ndio alikua amemuhifadhi akimkaangia chapati za Kenya.

Wazee wakashutliwa kuwa mwaneno apikiwa chapati za mombasa kule yakhee!! Wakamnyatia usiku wakamkosa akarudi zake mwambao. Siku hizi jamaa yupo anarandaranda mtaani ndugu wote wamemtenga kwa huo umombasa wake.

Yule kijana alipelekwa kutibiwa ila sijuagi ata yuko wapi tena.

 
Last edited by a moderator:
Hmmm ndo maana na mimi sijamwelewa huyo jamaa kabisa kwa kumchora mwenzie mwilini....inamaanisha nini>>
 
mumeo angechora picha ya kiume ungejishiaje????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…