Baba yetu Barrack Obama;
Ujio wako utukuzwe,
Mapenzi ya Marekani yatimizwe,
Hapa Tanzania na kote ulimwenguni,
Utupe leo misaada yetu na vyeo
kama unavyowapa wote wanaokutii,
Utusamehe madeni yetu
Kama nasi tunavyowasamehe wanaochota za EPA;
Usitutie majaribuni, kwa ushoga na usagaji,
bali Utuokoe na yule mwovu, tusije yapata ya Saddam na Ossama;
Kwa kuwa wako ni UTAWALA, UBABE NA UTAJIRI
Milele na milele.