AFRIKAN GUY
Senior Member
- Jun 26, 2015
- 102
- 110
ok. 🐒Sijaona mtu anaekaribia ukamilifu kama Baba yangu.
Yaani yupo mbele ya muda saaana, Discipline yake ni ya kimungu sana.
Yaani ni kama kajiandaa Kwa Kila kitu, magonjwa, ukame, Kila tukio katika maisha Yake. Kuna vitu anaweza fanya Leo mkasema Sasa hio for what. Mtaelewa Miaka mitatu minne mbele. Au mnaweza msielewe kabisa.
Ana subra usiseme: watu wengi hua tuna struggle kua na subra wakati tunasubiri jambo Fulani, na hua inasababishwa kua bored, yaani kukosa cha kufanya wakati tunasubiri jambo Fulani.
Lkn mzee wangu hana hio.
Uwezo wa kuplan vitu vya Miaka ya mbele hatakama anajua anaweza asiwepo. Lkn akawa na passion as if atakuwepo. Nikisema Miaka ya mbele naamaanisha mbele mbele kuleee.
Anapenda kusema wanangu maisha ni magumu sana, Kesho yetu ni mbaya sana. Na anamaanisha.
Nimegindua ana purpose kubwa kuliko yeye mwenyewe. Na anaitumikia since day one.
I call him Magufili.
Umeusoma huu uzi?Sijaona mtu anaekaribia ukamilifu kama Baba yangu.
Yaani yupo mbele ya muda saaana, Discipline yake ni ya kimungu sana.
Yaani ni kama kajiandaa Kwa Kila kitu, magonjwa, ukame, Kila tukio katika maisha Yake. Kuna vitu anaweza fanya Leo mkasema Sasa hio for what. Mtaelewa Miaka mitatu minne mbele. Au mnaweza msielewe kabisa.
Ana subra usiseme: watu wengi hua tuna struggle kua na subra wakati tunasubiri jambo Fulani, na hua inasababishwa kua bored, yaani kukosa cha kufanya wakati tunasubiri jambo Fulani.
Lkn mzee wangu hana hio.
Uwezo wa kuplan vitu vya Miaka ya mbele hatakama anajua anaweza asiwepo. Lkn akawa na passion as if atakuwepo. Nikisema Miaka ya mbele naamaanisha mbele mbele kuleee.
Anapenda kusema wanangu maisha ni magumu sana, Kesho yetu ni mbaya sana. Na anamaanisha.
Nimegindua ana purpose kubwa kuliko yeye mwenyewe. Na anaitumikia since day one.
I call him Magufuli
Hii ni mentality ya kimaskiniUshakuwa mkubwa tafuta vyako sasa usisubiri dingi afe,maana mitoto ya Dar kuolea kwenye nyumba ya dingi inaona sawa huku ikiombea dingi avute
Sijaona mtu anaekaribia ukamilifu kama Baba yangu.
Yaani yupo mbele ya muda saaana, Discipline yake ni ya kimungu sana.
Yaani ni kama kajiandaa Kwa Kila kitu, magonjwa, ukame, Kila tukio katika maisha Yake. Kuna vitu anaweza fanya Leo mkasema Sasa hio for what. Mtaelewa Miaka mitatu minne mbele. Au mnaweza msielewe kabisa.
Ana subra usiseme: watu wengi hua tuna struggle kua na subra wakati tunasubiri jambo Fulani, na hua inasababishwa kua bored, yaani kukosa cha kufanya wakati tunasubiri jambo Fulani.
Lkn mzee wangu hana hio.
Uwezo wa kuplan vitu vya Miaka ya mbele hatakama anajua anaweza asiwepo. Lkn akawa na passion as if atakuwepo. Nikisema Miaka ya mbele naamaanisha mbele mbele kuleee.
Anapenda kusema wanangu maisha ni magumu sana, Kesho yetu ni mbaya sana. Na anamaanisha.
Nimegindua ana purpose kubwa kuliko yeye mwenyewe. Na anaitumikia since day one.
I call him Magufuli
Kwa hiyo babayo ni boya tu mbele ya Magufuli a.k.a Magumashi?Sijaona mtu anaekaribia ukamilifu kama Baba yangu.
Yaani yupo mbele ya muda saaana, Discipline yake ni ya kimungu sana.
Yaani ni kama kajiandaa Kwa Kila kitu, magonjwa, ukame, Kila tukio katika maisha Yake. Kuna vitu anaweza fanya Leo mkasema Sasa hio for what. Mtaelewa Miaka mitatu minne mbele. Au mnaweza msielewe kabisa.
Ana subra usiseme: watu wengi hua tuna struggle kua na subra wakati tunasubiri jambo Fulani, na hua inasababishwa kua bored, yaani kukosa cha kufanya wakati tunasubiri jambo Fulani.
Lkn mzee wangu hana hio.
Uwezo wa kuplan vitu vya Miaka ya mbele hatakama anajua anaweza asiwepo. Lkn akawa na passion as if atakuwepo. Nikisema Miaka ya mbele naamaanisha mbele mbele kuleee.
Anapenda kusema wanangu maisha ni magumu sana, Kesho yetu ni mbaya sana. Na anamaanisha.
Nimegindua ana purpose kubwa kuliko yeye mwenyewe. Na anaitumikia since day one.
I call him Magufuli
YesBaba yako mzazi umemaanisha siyo?
Ni either namfananisha na magu, au ni magu mwenyewe.Kwa hiyo babayo ni boya tu mbele ya Magufuli a.k.a Magumashi?
Unafahamu kwamba Magufuli alimuua mwanawe kwa mateso na wala wanawe hawajawahi kumuona kama ni baba Bora?Ni either namfananisha na magu, au ni magu mwenyewe.
Ngozi nyeusi mirathi huwa inawavuruga. Kwa hiyo dogo bora uanzishe mapema mji wako kwa kumuomba mzee akuwezeshe na sio kuzunguka zunguka na taulo asubuhi kwenye mji wa mzee.Hii ni mentality ya kimaskini
Sisi kwetu hakuna mwenye chake. Ikitokea mtu anasubiri dingi afe, basi ni kwasababu za kisiasa na Sito swala la mali.Ushakuwa mkubwa tafuta vyako sasa usisubiri dingi afe,maana mitoto ya Dar kuolea kwenye nyumba ya dingi inaona sawa huku ikiombea dingi avute
Unafahamu kwamba Magufuli alimuua mwanawe kwa mateso na wala wanawe hawajawahi kumuona kama ni baba Bor Hio taaarifa mpya.
Taaarifa mpya kwangu.Unafahamu kwamba Magufuli alimuua mwanawe kwa mateso na wala wanawe hawajawahi kumuona kama ni baba Bora?
Familia za kimasikini Ndio hua hivi...Ngozi nyeusi mirathi huwa inawavuruga. Kwa hiyo dogo bora uanzishe mapema mji wako kwa kumuomba mzee akuwezeshe na sio kuzunguka zunguka na taulo asubuhi kwenye mji wa mzee.
Hata kama hela hana Ndio hospital ..?? Naamn mzee alitaka kuwafundsha kituIlikuwa hivi.
Wageni walifika nyumbani kwetu, siku zile nakumbuka ni kama walikuwa wametoka msibani mkoa flani huko.
Walipofika home, wakaoga na kisha wakapikiwa na mdada wa kazi na wakakula.
Sasa siku zile nilimlaumu sana mshua kwa kufanya maamuzi ambayo kwakweli sikufahamu maana yake na nilimuona kama katenda ukatili kwa wale wageni kutoka kijijini (kwao baba).
Basi mshua nikamuona anasogea kwenye meza kubwa ambapo palikuwa na simu zile za kuzungusha (landline), Kisha nikamsikia akiuliza upande wa pili kwamba nani Dr wa zamu?
Kisha akasikiliza na mwisho akakata simu. Baada ya muda...