Baba yangu huwa ananibaka

We mzoefu wa kusema uongo. Tafadhali acha kutupotezea muda
 
pole sana, kama story ni ya kweli.
 
Hadi machozi yamenitoka, tafuta mtu mzima na ambae ni ndugu wa upande wa baba aje nyumbani umueleze mama huyo ndugu akiwepo najisikia hata kukusaidia uhame hapo nyumbani ila ni swala la kupeleka mashtaka kwenye haki za binadamu utakuja kukusumbua kisaikolojia unahitaji pia ushauri nahasa kutoka wataalamu wa afya, asije kuwa na ukimwi akakuambukiza unatakiwa kupimwa na angalia usije kuzaa mtoto na babako
 
Vick binti yangu ndo umeamua kunitangaza huku??

Sasa dozi itakuwa doubled
 
Pole sana usikae kimya nimesikia uchungu sana. Mwambie mama bila kusita na pia ukapimwe kama hajakutia ujauzito au kukuambukiza magonjwa. Huyu hana hadhi ya kuitwa baba. Nakuomba sana usiendelee kukaa kimya.
Ila huyu threads zake nyingi sizielewi, hapa chini ni baadhi ya threads zake:
1. Kwanini wababa wa Tanzania hawapo karibu kulea watoto wao wa kike?
2. Mzazi kama huyu unamfanyaje?
3. Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu
4. Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza
5. Kwa nini wanaume wa Tanzania wapo hivi?
6. Je ni umri gani unaofaa kuanza kufanya mapenzi
7. Mwalimu wa kemia ananitaka kimapenzi
 
Reactions: BAK
Mhuni tuu huyu hana lolotee

Ila huyu threads zake nyingi sizielewi, hapa chini ni baadhi ya threads zake:
1. Kwanini wababa wa Tanzania hawapo karibu kulea watoto wao wa kike?
2. Mzazi kama huyu unamfanyaje?
3. Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu
4. Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza
5. Kwa nini wanaume wa Tanzania wapo hivi?
6. Je ni umri gani unaofaa kuanza kufanya mapenzi
7. Mwalimu wa kemia ananitaka kimapenzi
 
Yani kubaka abake baba yake;afu kutafunwa na dhambi atafunwe yeye?Aisee naona hii kanuni mpya ya kiroho.
 
Attention seeker tu halafu alivo wa ajabu akisha post ka uzi kake asepa atuacha siye tuna bishana hapaa weee!! Yeye ana tucheki tu, inatakiwa akitoa uzi wake tuna mkaushia tu
 
Attention seeker tu halafu alivo wa ajabu akisha post ka uzi kake asepa atuacha siye tuna bishana hapaa weee!! Yeye ana tucheki tu, inatakiwa akitoa uzi wake tuna mkaushia tu
Hata hivyo ni laana kubwa, kama baba hafanyi hivyo na yeye ametuma huu uzi, ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu! Ewe Mwenyezi Mungu angalia kizazi chako cha miaka hii!
 
Yani kubaka abake baba yake;afu kutafunwa na dhambi atafunwe yeye?Aisee naona hii kanuni mpya ya kiroho.
laiti ungelijua kuwa dhambi hupatiliza usingesema hivyo.
Mungu hupatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne na yeye hurehem maelfu elfu wampendao na kuzishika amri zake.

Kila dhambi aitendayo ancestor wako ni laana kwako na wanao. unless utubu na ujitenge na uovu huo.
Mungu akupe neema uelewe ni kwajinsi gani dhambi ya mzazi kumchafua mtoto
 
Huyu ni fa... L. A, hivi kweli unaweza kuleta utani kwenye suala linomhusu babayako kweli!
 
Neno linasema..."na baba hatobeba tena msalaba wa mwanaye na wala mwana hatobeba tena msalaba wa wazazi wake".
Hayo mengine mmeyabeba akilini mwenu.
Dhambi utendewe wewe alafu ikutafune tena wewe?Matukio mengine ni coincedence za maisha.Hata kama ancestors wako walikuwa malaika sana lazima utaumwa na tabu za maisha utapata,changamoto utapata tu na siku moja utakufa.
 
Naona upo agano la kale....
tafuta update ya agano jipya basi....
ushauri tu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…