eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
mpe hongera baba kwa kukubali mabadiliko
both sideMis chaga naye mwanasiasa au mwanamahaba.
mpe hongera baba kwa kukubali mabadiliko
Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa
mtajua hayo baada ya kubadilisha mfumo...Khaa!! Ni mabadiliko au genge la watu wanaotaka madaraka bila hata kujua watatutumikiaje??
Sisi huku Geita hatumtaki kabisa MAGUFURI mchukueni awe rais wenu huko huku hata wilaya yake nzima mitaa yote na vijiji vyoteni CHADEMA kasoro viwili tu ndo vya CCM hata mkuu wake wa mtaa ni CHADEMA na aliyekuwa diwani wake ni CHADEMA.Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...
Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa
Mis chaga naye mwanasiasa au mwanamahaba.
Iweke hapa namba yake ya simu,mimi nimpe hela. Najua Lowassa atanilipa.
both side