Mcharuko
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 209
- 175
..... Siku hizi amekuwa kama anachanganyikiwa anamuwaza
huyu mke wa pili. Ameuza nyumba 1 kati ya mbili alizonazo
kisha kamnunulia nyumba huyu Mwanamke. Hajipendi tena
siku hizi amekuwa mchafu anakonda, matumizi yake yamekuwa
makubwa kuliko siku za nyuma.
Huyu mwanamke anaonekana waziwazi akienda kwa mganga
huyu na yule (Tunahisi anaenda kumfanyia baba yetu hayo
mambo)
Anaacha shuguli zake anaenda kukaa mbele ya huyu mwanamke
anachanganyikiwa changanyikiwa. Alikuwa na mapenzi na watoto
lakini kwa sasa hilo halipo tena, anawapenda watoto wa huyu mama
ambao kimsingi si wa kwake Mambo ni mengi ambayo Rafiki
yangu ananisimulia analia na anataka ushauri kutoka kwangu
Hii ni mara yangu ya kwanza kukutana na tukio la aina hii kwa wenye
uzoefu huyu dada anaomba ushauri afanye nini ili aweze kumnusuru baba
yake.