baba yangu amelogwa na mke wa pili, naombeni ushauri.

baba yangu amelogwa na mke wa pili, naombeni ushauri.

Huu ni utamaduni wa kawaida kwa wanawake wengi. Wanaume hufanyiwa mambo ya ajabu, ambayo kimahakama hayana ushaidi. Jibu ni kumwomba Mungu akutane na Damu ya Yesu, ataokoka.
 
Na iwe fundisho kwa wanaume wapendao wanawake luikuki ndoa nne ,na vimada hehehhehe mkome mtalishwa majanaba tu!!!!
 
MTAFARUKU
Kuna mzozo umeibuka huko ndani, wengine wanamtaka mganga
wengine mchungaji. Sijui kwanini wanafokeana sana, Laptop
inaisha chaji baadae wakuu.
 
MTAFARUKU
Kuna mzozo umeibuka huko ndani, wengine wanamtaka mganga
wengine mchungaji. Sijui kwanini wanafokeana sana, Laptop
inaisha chaji baadae wakuu.
baba huyo anahitaji ukombozi wa damu ya yesu! Mchungaji ana nafasi kubwa hpo kuliko huyo sangoma.
 
Mzee anaisikilizia ya nyumba ndogo mpaka inamtoa fahamu, chezeiya noninho wewe!.
 
Wewe umejuaje kama baba ako kalogwa? baba ako kajiloga mwenyewe wala msitafute mchawi
 
Wewe umejuaje kama baba ako kalogwa? baba ako kajiloga mwenyewe wala msitafute mchawi

unasema tu mkuu kwakuwa hayajakukuta..uliza wasichana watakwambia, imefikia hatua wasichana wanatembea na hirizi kwenye handbag zao..
 
ndugu yangu naelewa unachoongelea!ni kweli siyo hali ya kawaida na km hayajakukuta huwezi kuamini,bt haya mambo yapo!
Cha msingi maombi 2(km ni wakristo waliosimama kwny imani)mbona faster hayo madude yanasepa kwa maombi!
 
Mtoto anaingilia mapenzi ya baba yake na mama yake mdogo.. Hatar sana!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ni rahisi sana kulaumu na kuingiza siasa kama hujajionea mwenyewe.

hata kama umejionea huwezi kuhukumu kuwa karogwa, hili ni tatizo ambalo wengi wanaamin kuwa ukikuta baba hana ugomvi na mkewe basi wanasema mkewe kampa dawa aka limbwata. hizi imani zinatufanya tusiendelee na kujengeana chuki bure eg tuchukulie wewe avatar yako ni mcharuko twaweza amini kuwa kweli wewe ni mcharuko.
 
naamini katika nguvu juu ya nguvu zote
zishirikishe kwenye hilo tatizo lako
 
Back
Top Bottom