Inasikitisha sana kuwa umesubiri baba yako kafa ndo umeleta hii habari. Ulipata kuongea na mama yako akapata kufahamu kuwa una post mgogoro huu hapa? Umepata kujua mama yako ametoa msamaha wa aina gani kwa baba?. Ingelikua wewe ndiyo mama, au ikiwa mama asingelikuwepo ungelimpokea na kumlea baba ktk hali yake ya kuumwa licha ya uovu wake kwa mama?
Ni vema na ingekuwa heri kwa kila mmoja ndani ya familia ungeliongea na baba akiwa hai, ungemuonyesha madhara ya matendo yake na kisha kutangaza kumsamehe.amekufa ndo unakuja kuiambia jamii forums tena na kuaidi wewe unajiandaa kuwa mume mwema, haisaidii kwani baba amekufa, chanzo cha magomvi yake na mama walijua wao, wewe unachojua ni effects za huo ugomvi. Hekima na busara zituongoze zaidi kuliko hisia. Amini nakwambia kwa kujua makosa ya hayat baba yako na kuya sema hapa jf haitoi tiket ya amani ktk ndoa yako, lakini kwa kujua makosa ya baba na kuchanganya na hekima ya mama yako ingekuwa si raisi kuandika hbr inayomsema mfu,