chodotio richie
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 214
- 86
Huyo binti amusemee kwa watu wazima wamwekee mtego. Hilo libaba la hivyo na halijiheshimu ukute lina ngoma na anafanya hivo maybe kwa vile sio mwanawe
Mwambie huyo binti ahamie kwangu ili nimpe hifadhi.Mzee mmja anamtka bnt yke kimapnz mwaka was tatu mfululizo na amejarb kumbaka Mara kadhaa mpka anatka kuhama kwao. Bdo anasoma na anahtaji ushauri now ypo kidto cha sita.
Jaman HV nn knasababsha mzaz kumtaka mwanae jmn??
Ue unaandika neno linafika mwisho au ndio umesikia mlango umegongwa unatetemeka.Usiwe unaandika kama mnavyo andikaga fb utafikiri huwa mmebanwa na haja kubwa.Mzee mmja anamtka bnt yke kimapnz mwaka was tatu mfululizo na amejarb kumbaka Mara kadhaa mpka anatka kuhama kwao. Bdo anasoma na anahtaji ushauri now ypo kidto cha sita.
Jaman HV nn knasababsha mzaz kumtaka mwanae jmn??
Pole sana mkuu lakini usijari mambo yatakua sawa tu mkuu.Asnte lakn bado sijaelewa nitaandka vzr hii Mada kesho. Samahani kwa typing error zilizo jtokeza nashukuru mlinielewa. Jmn ni story ndefu mama alishafarki2012. Mzee anatishia kusitisha ada na ndgu hawana uwezo. Ninaomba mnishauri vyema na sio kunitukana kua nmeandka hku naharisha na mengne yakuongezeana uchungu. Asnteni snaa mnaozd kutoa maoni yenu nianzie wapi .
Mzee mmja anamtka bnt yke kimapnz mwaka was tatu mfululizo na amejarb kumbaka Mara kadhaa mpka anatka kuhama kwao. Bdo anasoma na anahtaji ushauri now ypo kidto cha sita.
Jaman HV nn knasababsha mzaz kumtaka mwanae jmn??
Logic ya mtoto ni kuwa, huyo ndo anamlipia ada na chakula na all her basi needs ndiyo maana inamuwia ngumu kumsemea.
Wakati niko polisi hizi issue zilikuwa sana, yani binti kapewa mimba na mjomba au hata baba yake mzazi/kambo ila yupo tayari kwa lolote ila asimtaje maana anajua akienda ndani na yeye future yake inayumba (mara nyingi wanakuwa walishawatishia hivyo, ikiwamo na kuwatishia kuwaua). Kwa mtoto maneno na vitisho hivyo viko deep kuliko tunavyotaka kuamini sisi wenyewe (I mean kama mtu mzima ni rahisi kupuuza na kuona anapenda mwenyewe nk).
Nadhani serikali iko bize kuwafunga wakosaji na sio kuwahudumia wahanga wa haya mambo ndiyo maana hayaishi. Wizara husika iwezeshwe kifedha na iandae mfumo mzuri wa kuhakikisha mabinti hawa wanapata maisha baada ya abusers wao kufungwa.
My 5 cent.