Baba yake Joyce Kiria afariki dunia

Lala salama mzee KIRIA mungu akulaze kwema
Mungu umpe nguvu Dada Joyce kilewo kiria kwa hakika anapitia katika majaribu makubwa sana kwa sasa.
 
Mwenyezi MUNGU akupe Faraja na utulivu wa nafsi joyce! maisha ndivyo yalivyo.
 
yeah, misfortunes never come singly!
 
Joyce!! Najua upo katika wakati mgumu sana. NENO linasema hivi; haya yote hayana budi kutokea. Tena NENO linasema; tushukuru kwa kila jambo. Tena NENO linasema; tunayaweza yote ktk yeye atutiae nguvu... Joyce this is your history to your kids, take heed... Mungu na akutie faraja...
 
Shetani......

awaandalie makazi YA MOTO WA MILELE... huko Jehanam WOTE wasioitakia Mema CHADEMA.........

wote tuseme AMINA....

Mkuu hii AMINA unayotuhimiza kuisema ina maana na DJ NELLY inamhusu?

DUnia ina mitihani hii, tumwachie Mola tu
 
Shetani......

awaandalie makazi YA MOTO WA MILELE... huko Jehanam WOTE wasioitakia Mema CHADEMA.........

wote tuseme AMINA....

shetani awaandalie moto wa milele wote wasioitakia mema CCM, wote tuseme aaimen!
 
Mungu amlaze pema peponi lakini kilewo ahukumiwe miaka mingi kwa unyama wake wa kumwagia watu tindikali
 
Joyce Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
POle Joyce, masahibu huja mawili-mawili
 
In this difficult time,May GOD,the Almighty show u the way.
May her father's soul and others we pray for Rest in Eternal Peace.
 
Mungu amlaze pema peponi lakini kilewo ahukumiwe miaka mingi kwa unyama wake wa kumwagia watu tindikali
...dhu uko ...10% kufikia ukombozi jitahidi kupiga hatua tisini kutoka huko.....
 
haa ha hahaa.!!kumbe kuna watu wanachuki na mwigulu mpaka wanamuombea dhambi za marehemu..so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…