Mzee yupo shinyanga tilling his little plot of land,a place where he knows himself well, where he has peace,a place he has dignity , a place he can quietly mourn loss of a son far, far away from the hypocrisy of the citizen of polished capital.
Kamati ya Mazishi imeshindwa kukodi ndege kumfuata baba yake Kanumba katika zile millioni 10 alizotowa JK, maana kwa uzoefu wangu ndege ya kukodi ni kama dolar 3000 hivi.
Jana kupitia luninga ya TBC alisema amebariki mazishi yafanyike Dar baada ya kukubaliana na mama yake Kanumba alisema anasubiri usafiri kuja dar kama hakutumiwa usafiri na yeye labda hana kitu sasa mnategemea nini? Ila baba ni baba siku zotee.