Baba wa ubatizo wa mwanangu ana uhusiano wa kimapenzi na mama wa mwanangu. Navukaje hapa?

Gharama ya kuvunja familia ni kubwa sana.
Mungu atusaidie atuepushe mazingira yanayosababisha kuvunjika kwa familia.

Ila pia wanaume mnatongoza wake za watu mnawamega, mkimegewa uchungu wake hamuuwezi. Muosha huoshwa. Kila mmoja ajiheshimu.
Hamna kitu kwahyo unashauri watu waendelee kuvumilia mateso. Ndoa Sio ni Vita ni raha na kupeana utelezi tuu ukiona mapicha unaleft tu group
 
Oa mwingine haraka sana kama habari ndio hii, na mchukue mtoto wako, nenda Ustawi wa Jamii, watakusaidia haraka
 
Umetoa mzigo kichwani na kuuweka begani huku ukodhani utapata unafuu wa kubeba na kupumzika!!!...too early to call!
 
Wwngi sie ni SOCIAL FADHER and not The Biological Fadher.

Hata huyo Mchumba wako mpya naye anaMchumba wake MWINGINE kabla yako,

Ushauri wangu, Samehe, endelea na Mkeo, achana na huyo, unaye muwazia kufunga naye ndoa mwakani,
ATAKUJA AKUUMIZE, KULIKO HUYO ULIYE MUACHA,

Huyo mtoto, usipime naye DNA endelea kumuhudumia mpaka atakapo kuwa ni mtu Mzima.
Usimgoe kwenye BIMA mkeo na mwanao,

Huyo Baba wa ubatizo, ndioalikuwa ana mueweka mjini mkeo, kabla yako, na kumpunguzia Stress na hatimaye UKAMPENDA,

Nashauri, SAMEHHE, ISHI NA MKEO
ushauri wa kinyonge sana huu
 
Kabla ujafanya chochote kafanya DNA test ni laki na 20 kwa mtu mmoja ili ujue status yako na huyo mtoto.
 
Hongera sana kwa uamuzi bora kabisa wa kuachana naye.

Kwa mnaoshauri warudiane, mnamshauri aendelee kuvumilia kumegewa!!!

Mtoto (kama ni wake kweli) si sababu ya kutoachana, aangalie namna bora ya kumlea.

Kuhusu kuoa tena; ameshakaa kwa zaidi ya mwaka mmoja, siyo mbaya sana.
 
Kabla ujafanya chochote kafanya DNA test ni laki na 20 kwa mtu mmoja ili ujue status yako na huyo mtoto.
Hapa si ndio mauaji mengine yatatokea,ila watu wa Dna watatumia busara na hekima ili kuleta ustawi mzuri kwa mtoto,kesi kama izi Dna majibu yao ni mazuri hata yakiwa tofauti na majibu,ategemee kuambiwa mtoto ni wake
 
Umewahi sana kuoa, ungesubilia hata huu mwaka ukapita. Na kama mlifunga ndoa ya kiserikali inabidi mrudi huko huko,,( lawyer wa jf )
 
Hapa si ndio mauaji mengine yatatokea,ila watu wa Dna watatumia busara na hekima ili kuleta ustawi mzuri kwa mtoto,kesi kama izi Dna majibu yao ni mazuri hata yakiwa tofauti na majibu,ategemee kuambiwa mtoto ni wake
Mama wa mtoto alianza kudate na Mgoni wake kabla jamaa hajamuoa.

Alama ya hatari hiyo
 
Tatizo binadamu wa sasa bado wanalazimisha sana haya mambo ya ndoa. Tukulanage tuu jameni
 
Back
Top Bottom