SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,337
- 4,664
Hakuna sehemu katika Andiko langu nimetaja jina "Mwl.Nyerere". Wala sina kipingamizi kwenu kuendelea na mchakato wa Kumtakatifuza maana kitendo hicho hakitaniongezea wala kunipunguzi chochote hapa duniani.
Kwa hiyo, concern yako ni nini hasa? Ulitaka kutuaminisha kwamba maombi ya walio hai hayawezi kuwasaidia wafu? Kama ndivyo, ina maana unataka kusema Mungu ana "masikio" ya kusikiliza maombi ya walio hai kwa ajili ya walio hai tu ila hana "masikio" ya kusikiliza maombi ya walio hai kwa ajili ya wafu? Kama ndivyo, atakuwa ni Mungu Wa aina gani?