Baba wa taifa kutangazwa mwenye heri, wakatoliki hili limekaaje?

Mulama

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
3,018
1,790
Sidhani hata yeye angeshirikishwa angekubaliana na hili! Au kuna mtakatifu yeyote aliyewahi kuua kisha akawa mtakatifu? tujuze wanazuoni wa kikatoliki tafadhari.
 
Umezaliwa mwaka gani? maana humu kumejaa under 18 siku hizi mnasumbua kama nini ndo mana hatuingii kila mara kama zamani humu jf
Mkuu kwa hishma na taadhima nitake radhi.Niimeishi na shangazi yako kwa miaka ishirini na nane kama mke wangu na hajawahi kugoma kuniwekea maji bafuni wala kupuuza mimi kujifunga kitenge chake ninapoenda kujiswafi mwili na roho.Uminikosea hishma sana na unapaswa kupata baridi ya moyo,mwili hadi akili.
 
Hajakosea
Kwa mtiririko huu wa kuulizana kama unamsuta shoga yako huko uswahilini hatufiki maalim!😂😂😂😂😂
Hajakosea kwa sababu watanzania tumezoea kutoa majibu kwa njia ya maswali, hapo ni kujiongeza tu kiongozi.
 
Mkuu kwa hishma na taadhima nitake radhi.Niimeishi na shangazi yako kwa miaka ishirini na nane kama mke wangu na hajawahi kugoma kuniwekea maji bafuni wala kupuuza mimi kujifunga kitenge chake ninapoenda kujiswafi mwili na roho.Uminikosea hishma sana na unapaswa kupata baridi ya moyo,mwili hadi akili.
Basi natengua kauli na kufuta usemi mkuu lakini kwa mujibu wa maelezo yako pale yalikupeleka kunako andaeitiini mkuu!
 
Mt. Bernard of Clairvaux ambae aliendesha jihad (crusade) ulaya
Mitume wako honoured kuliko watakatifu…...sasa kama mitume waliua vp watk?
Kwahiyo ni sahihi kumtangaza utakatifu asiye na rekodi ya matendo matakatifu maishani mwake?
Hatuongelei Mitume wateule wa Mungu mwenyewe tuongelee watakatifu wateuliwa/watangazwao na sisi wenyewe.
 
Sidhani hata yeye angeshirikishwa angekubaliana na hili! Au kuna mtakatifu yeyote aliyewahi kuua kisha akawa mtakatifu? tujuze wanazuoni wa kikatoliki tafadhari.

Inaelekea huelewi maana ya Yesu kushuka duniani! Kama wewe ni Mkristu basi bila shaka utakuwa ni wale Wa Vikundi vinavyojifunza ukristu.

Yesu alikuja kuwafanya wadhambi wawe marafiki zake na kisha waingie Mbinguni kula "Bata". Kama ndivyo, wewe unashangaa nini? Kama mwenye mbingu yake,Yesu Kristu, anawakubali wadhambi na kuwapokea wewe ni nani hata uhoji mchakato Wa kutangazwa Mwl.Nyerere, Mwenye Heri? Hebu jifunze hivi:

1, Mtume Petro ni Mtakatifu. Yeye alimkana Yesu wakati Wa mateso yake.
2. Paulo ni Mtakatifu. Alikaba na kuchinja wakristu wengi sana. Mbona hujahoji utakatifu wake?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom