Baba wa Taifa azinduka na kukuta.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba wa Taifa azinduka na kukuta..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lucchese DeCavalcante, Mar 24, 2012.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Eti JK ni Rais tena kwa awamu ya pili....
  Lowassa anajiandaa kuwa Rais 2012...
  Eti CCM inaelekea kugawanyika...
  Eti CUF ni "CCM B"
  Eti Vicent Nyerere ni mwanafamilia yake...


  ENDELEA...
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ridhiwani Kikwete ni tajiri mkubwa Tanzania...

  ENDELEA.....
   
 3. a

  adolay JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Huyo Riziwani atarudisha hela yetu, kweni gadhafi na wanaye, mubaraka na wanaye na... na... ........ wako wapi??
  Kila lenyemwanzo halikosi mwisho na siku magamba wanashuka chini hakika wataombeleza wao, familia na koo zao.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Siyo mpaka Nyerere afufuke, bali ilitakiwa watanzania tuamue tuwafanyie nini.
  Ni sisi watanzania tunatakiwa tujue nani yupo kwa ajili ya wananchi, siyo Nyerere!
  Nyerere ni binadamu ameenda mbele ya haki, ni jukumu letu sisi tuliopo tujijue na tujipambanue kwa haki na usawa!
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwa nchi hii nadhani mpaka baba wa taifa azinduke ndio tutatoka usingizini wa umasikini
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  duh . . . .
   
Loading...