Baba wa taifa akiwa kwenye foleni

Baba wa taifa akiwa kwenye foleni

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
18892945_1389618167791373_8251410019041802355_n.jpg
 
Mbona ata Baba Bashite hii kitu anaweza sana.
sema tu wasaidizi wake ndo wanaomzuia.
 
Kulikuwa hamna mitandao kwahiyo hamna umbeya akipozi tu akipiga picha tunaamini
 
sasa hivi kiongozi wa juu serikalini akipanga foleni sehemu yoyote ile kupata huduma utasikia povu upande wa pili kwamba inatafutwa kiki kwa vyombo vya habari.
 
IMG-20170416-WA0006.jpg

Umenikumbusha mbali sana mwalibu alipokua anabebika....[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom