Baba yangu Mzazi Mzee Roman Selasini Amefariki Jioni ya Leo saa 12:15 Katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akiendelea na Matibabu.
R.I.P My Dad.
Sad.
Jamaa kapoteza watu wengi wa karibu nae kwa kipindi kifupi.
Ye bado hajapona mkono, mkewe bado hajapona shingo baada ya ajali mbaya iliyoua nduguze wengine.
Pole sana Kamanda
Sad.
Jamaa kapoteza watu wengi wa karibu nae kwa kipindi kifupi.
Ye bado hajapona mkono, mkewe bado hajapona shingo baada ya ajali mbaya iliyoua nduguze wengine.
Pole sana Kamanda
Duh! Pole sana Kamanda. Ninaona unavyopita katika kipindi kigumu. Ila nafahamu imani yako kwa Mungu. Natumaini atakupelekea Roho wake akutangulie na kukupa nguvu na faraja katika mapito haya. Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani. Aamen!