gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Wababa tuna upendo sana..Wababa wa kambo oyeeeee
Una moyo kulea watoto wa mwanaume mwenzio for the record lakini kama baba mzazi yupo wakikua watamtafuta hata kama yuko sayari ya mars.
Wababa tuna upendo sana..Wababa wa kambo oyeeeee
Ni sawa watamtafuta kwa ajili ya identity tu, lakini heshima ya baba itabakia kwa aliyelea.Una moyo kulea watoto wa mwanaume mwenzio for the record lakini kama baba mzazi yupo wakikua watamtafuta hata kama yuko sayari ya mars.
Bangi mbaya sana na viroba duh
Ni sawa watamtafuta kwa ajili ya identity tu, lakini heshima ya baba itabakia kwa aliyelea.
Oooh!Really????????????