baba wa kambo anasifa zipi?

baba wa kambo anasifa zipi?

mlowe

New Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
3
Reaction score
0
mama wa kambo anasemwa vibaya hata afanyapo mazuri,jamii inamwelewa vema kuwa simwema ingawa si kweli.sasa nauliza juu ya baba wa kambo jamii inamsemaje?
 
Back
Top Bottom