Baba wa familia

Nilisikia hawa wanamatatizo ya kutegea majike kutafuta chakula, yenyewe kazi yao kulala tu, majinga hayo
 
Mfalme gani huyu hajui ku-smile?

hana smile wala hana rafiki mkuu kila kitu kwake ni msosi tuu

Kyeleeeuuwiiiiiiiiiiiiiii!!! kyele! kyele! kyele!... kyeleuuwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tized unaona eehh
Ila hata hizo nguvu zakulia sijui utazitoa wapi unaweza jikuta kwa kuchanganyikiwa unamsalimia shikamoo bwana simba kama alivyosema utafiti hapo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…