PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,222
Mkuu maisha ni kuamua hata wewe hujui mission ni nini hapoHuyo binti ni mpuuzi
Umejibebesha mimba ya singleboy mtoto wa kwanza baba kakukacha.
Unafungua tena uzazi unazaa na mwanaume mwenye familia ambayo ulimwengu mzima unaijua, baba anakukataa wewe na mtoto unangangania na kulazimisha utambulike
Kama alishindwa kumstiri yule aliyekuwa free ataweza kustiriwa na huyu mwenye familia??
Wanaomsifia ujinga ni wapumbaavu wenzie
Anajitengenezea mazingira ya kuchina na kuwa nungayembe.
Nani atakubali kubeba/kuoa mama wa watoto wawili wenye baba tofauti???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuamua kuwa kitotolea vifaranga?
Mbona hueleweki?Sawa mkuu, nimeongeza msamiati mwingine wa Nataka nilikuwa siujui
Sent using Jamii Forums mobile app
Mond ana Mke aliowa lini?
Na ht km Hamisa kazaa na mond wote hawajaolewa acheni kusema Zari mke
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wa Diamond, ni wa kwakoIvi Yule dogo wa mwisho kwa zari ni wa diamond kweli,..???
Umesoma article nzima lkn au umekurupuka tuDunia ya sasa maadili yamekwisha kabisa,yaani badala ya baba mzazi wa kijana atoe onyo kwa kijana wake kuhusu tabia yake mbaya ya uzinzi na kuzaa zaa hovyo na wanawake ambao hajawaoa na uwezo wa kuwaoa na kuwatunza anao yeye ndo kwanza anabariki uchafu unaofanywa na mwanae.na hii yote inatokana na ukweli kwamba kijana ndiye anaempa maisha mzee ndo mana anaogopa kumkanya anaogopa akienda against nae atamwaga mboga.
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Zari na hamisa wana utofauti gani coz mwingne ana mitoto mitatu mikubwa na akaacha mme wake na kuja kuzalishwa na kivulana kidogo kabisa afadhari misa ana mtt moja tu njeLabda angelitulizana angepata wakumstiri, hata majizo angeweza kujirudi wakalea mtoto ila kwa sasa asipoolewa na mond atabaki kudanga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hufahamu totauti zao??Zari na hamisa wana utofauti gani coz mwingne ana mitoto mitatu mikubwa na akaacha mme wake na kuja kuzalishwa na kivulana kidogo kabisa afadhari misa ana mtt moja tu nje
Sent using Jamii Forums mobile app
na hawajui uzazi wa mpangoNdio maana mi nataka nikaoe Pemba, wale wanawake wanajifunika kichwa mpaka hujui mbele wapi nyuma wapi. MASHILAWADU wataisoma namba
Wamgelikubaliana asingehaha namna hiiHamisa anajua kabsa Mond yuko na Zari na ana watto wawili
Na yeye amekubali na kaamua kuzaa lazima wamekubaliana na Mond atawatuza wote wanae Muacheni Mtto wa wa2
Sent using Jamii Forums mobile app