Baba utaua watu Legeza kidogo 'just Imagine'

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpk tuje kuikamata 2020 tutakua tupo kyela
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sio kyela mkuuu tutakuja jikuta tupo gafla check point ya south africa trafic wanasema open your car bonet for inspection....tunabaki tuanaulizana kwan hapa wapi?? Magu hamisha gear gonga kali zaidi, afu weka muzik juu
 
mkuu na hiv tupo kwenye semi teller hakuna atakayechomoka labda ukimbilie mbinguni
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mbavu zangu! Ni nomaa sana kwa kweli, wanaokata roho safarin ndio wanapumzika kuona miti inavyorud nyuma kwa kasi,
 
Back
Top Bottom