Kazimzubwee
Member
- Nov 7, 2016
- 51
- 57
Amani iwe nanyi,
Nchukua nafasi hii kuunga mkono juhudi Rais Magufuli katika kuthibiti wizi serikali hii inafufua matumaini ya kupata Tanzania mpya, maana mpaka leo kama Taifa hatuna sera (sheria) inayotekelezeka na watanzania bila kujali ukada wa vyama vya siasa.
Hii ni changamoto inatakiwa itatuliwe kupitia katiba mpya na Bunge la Jamhuri Ya Muungano. Pili nakuomba Rais wetu ukiwa kama Baba wa Watanzania wote, sikiliza kilio cha wafanyakazi kazi wako hasa kiima cha chini kwani maisha huku mtaani yamekuwa magumu mno na wanao taabika ni watanzania wote kwani mfanyakazi wa nchi analea familia kubwa mno ya wazazi vijijini,yatima na wajane, bila kusahau karo za wanafunzi.
Naomba wapunguzie majungu wanajituma wanawajibika waongezee morali ya kazi kwa kujali maslahi yao yakiwemo makazi na afya.
Naomba kuwasilisha.