Baba nimekuleteaaa

Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,716
15,277
[h=6]kijana wa KIUME
ampeleka mchumba
wake kumtambulisha
kwa0,alip0fika tu baba
yake akagundua dosari
maana binti alikuwa
mweusi tii,ana matege
makali, na makengeza ya
maan!!!!duuh... mcchana
ku0na sura ya baba
mkwe wake imebadilika
ikabidi atabasamu kid0g0,
lahaula!!! alikuwa na
mapeng0 hana men0
y0te ya mbele, baba
akaamua amuite
mwanae pemben ili
wazungumze baba:
mwanangu embu
twende nje kid0g0
tu0ngee kijana: baba
sema tu hapahapa
mchumba wangu ni
kiziwi.
[/h]
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Mapenzi ya dhati hayachagui wala kubagua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom