Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,007
- 165,534
Hii Sasa Kali!.....Na ambao baba zetu walitukataa na hawakujali hata tulikua tukilala njaa na kuvaa chupi zenye matobo na wao wanakula bata mjini tunacoment neno gani
Sijawahi kumpenda na sitompenda japo simchukii ila sitaki ukaribu nae maana alinambia kwa kinywa chake nisitumie hata ubini wake ila leo ananitafuta eti nimpe matumizi
Nampa kama navoweza kuwapa ombaomba ila si kwa heahima ya ubaba
Nakupenda mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa ananipenda sana hakuna ninachokosa ila RIPUmetoka shule kwa likizo. Umefika nyumbani
unamkuta mama, unamuuliza mama, baba yuko
wapi anakujibu yuko kazini.
Mda mwingi uko na mama ako tu. Ni siku ya
juma pili, baba anaingia chumbani kwako
anakukuta ukipanga mabegi kwani kesho unarudi
shuleni (likizo imeisha) Anakupatia laki 8 za ada.
Ile anataka kuondoka, unamuomba laki moja ya
matumizi.
Anakwambia "hali ni ngumu mwanangu" ila
anakupatia elfu 80, kisha anaondoka.
Unatoka chumbani kwako ukiwa umenuna,
unaenda sitting room, unamkuta mama. Mama
anakuuliza "mbona umenuna", unamjibu, "baba
amenipa elfu 80 badala laki kwa matumizi".
Mama anafungua hand bag, anakupa elfu 30.
Wewe kwa akiri yako mbovu, unakimbilia simu,
unaingia FB unapost "HAKUNA KAMA MAMA".
Umesahau kwamba baba yako leo ameenda
Kazini kwa mguu kwa sababu hana nauli?
Umesahau kwamba jasho lake ndilo linalokuweka
shule?
Umesahau kwamba, hela aliyokupa mama
kapewa na baba? ACHA UBAGUZI WA WAZAZI
Wazazi wote ni sawa ndugu.
Kama umezoea kupost 'hakuna kama Mama", leo
comment hapa chini
"BABA NAKUPENDA SANA"
Niwatakie siku njema ndugu zangu.
Mulanga Michael mwakibete
Nakushauri kaa vizuri na mama yako kwa nini mshua alikuwa anakukutaa muuliZe,Na ambao baba zetu walitukataa na hawakujali hata tulikua tukilala njaa na kuvaa chupi zenye matobo na wao wanakula bata mjini tunacoment neno gani
Sijawahi kumpenda na sitompenda japo simchukii ila sitaki ukaribu nae maana alinambia kwa kinywa chake nisitumie hata ubini wake ila leo ananitafuta eti nimpe matumizi
Nampa kama navoweza kuwapa ombaomba ila si kwa heahima ya ubaba
Nakupenda mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimefanana na baba kwa asilimia 95 hivyo sina shaka kua mimi si mtoto wakeNakushauri kaa vizuri na mama yako kwa nini mshua alikuwa anakukutaa muuliZe,
Samahani lakini kwa kuwa umeshakuwa mkubwa mkonvice dingi mkacheki DNA inawezekana unamlaum bure mzee wa watu.
Na alishakuja kuniomba msamaha kwa kunikataa anadai alikua anaogopa kuchekwa na wenzie kwa kuzaa na mama kisa mama alikua fukara sana kwaoMm nimefanana na baba kwa asilimia 95 hivyo sina shaka kua mimi si mtoto wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ambao baba zetu walitukataa na hawakujali hata tulikua tukilala njaa na kuvaa chupi zenye matobo na wao wanakula bata mjini tunacoment neno gani
Sijawahi kumpenda na sitompenda japo simchukii ila sitaki ukaribu nae maana alinambia kwa kinywa chake nisitumie hata ubini wake ila leo ananitafuta eti nimpe matumizi
Nampa kama navoweza kuwapa ombaomba ila si kwa heahima ya ubaba
Nakupenda mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Na alishakuja kuniomba msamaha kwa kunikataa anadai alikua anaogopa kuchekwa na wenzie kwa kuzaa na mama kisa mama alikua fukara sana kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile avatar yako ile iko wapi..? Baba wajibika tu huhitaji kusifiwa, huyo mwanao akija kuwa mzazi ndo ataelewa.... sio leo.Pole mzee, msamehe tu
Ile avatar yako ile iko wapi..? Baba wajibika tu huhitaji kusifiwa, huyo mwanao akija kuwa mzazi ndo ataelewa.... sio leo.
Usile Mbegu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , namkumbuka Baba Kwa bata alizokuwa anatupa wakati mama kaenda kijijini. Kumbe alikuwa na nyumba ndogo.
Ndio alichosema na alipata watoto wengine kwa mwanamke alieishi nae lakini wamekufa wote nimebaki mimi tu na ndio alipokuja kuniomba msamahaDuh, samahani kwa kuuliza, baba yako alisema hivyo kweli?
Yaani alikosa kabisa sababu nyingine ya kujitetea?