The Grandson
Member
- Nov 15, 2014
- 13
- 5
Baba:- Unajua Tizo juhudi zako katika masomo hazitoshi, Mwalimu Nyerere alipokuwa na umri kama wako alijua kusoma na kuandika ndiyo maana walimpandisha madarasa haraka haraka..
MTOTO:- Unajua Baba juhudi zako katika maisha hazitoshi, Mwalimu Nyerere alipokuwa na umri kama wako alikuwa ni Rais wa nchi tayari....
MTOTO:- Unajua Baba juhudi zako katika maisha hazitoshi, Mwalimu Nyerere alipokuwa na umri kama wako alikuwa ni Rais wa nchi tayari....