Baba na mwana ...! Kweli wakati si milele

Baba ukiona unampenda sana mtoto mmoja kuliko watoto wako wengine bhac jua kuwa wewe ni baba dhaifu
 
Ilitokea baba akampenda sana mtoto wake wa kwanza ila akang'amua mtoto huyo mpendwa alikuwa na mbinu za kumchukua baba yake msukule. Alimfukuza nyumbani na kama watoto wanatolewa zawadi anatafuta mtu wa kumchukuwa ahame kabisa nyumbani kwake.
 
Duh, mara nyingi watoto/vijana wanaopendwa sana na wazazi wao zaidi baba; huwa wanaharibu mambo. Hata sijajuaga ni kwa nini wajameni!
 
Ila ukiona baba unampenda sana mtoto mmoja kuliko wengine bhac ujue hao wengine sio damu yako. DNA haiongopi abadan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…