Baba na mwana ...! Kweli wakati si milele

Sijaona mantiki ya huu uzi
 
Baba wengine huwa si upendo, ni kushikwa masikio. Ingekuwa kwenye unyumba tungesema kalishwa limbatwa.

Kuna msemo unasema mbwa ukimchekea sana kuna siku ataingia na wewe msikitini!
 
Huyu ndugu yetu huwa ananifurahisha kwenye nguo anazovaa tu,

Hivi kuna mtu yeyote huwa anamdanganya amependeza[emoji28][emoji28][emoji28]??
Kuna ambao hutoka chicha Ila so kwa huyu bwana... kwa ile mikalio ilivyo na kile kiliba tumbo... anaonekAna ni kichekesho cha kuwapatanisha waliohasimiana
 
Kuna ambao hutoka chicha Ila so kwa huyu bwana... kwa ile mikalio ilivyo na kile kiliba tumbo... anaonekAna ni kichekesho cha kuwapatanisha waliohasimiana
Mungu wangu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…