Baba na mwana ...! Kweli wakati si milele

Huyu ni baba wa kijografia. Sijui kwanini blaza ako Mshana Jr hakutaka kuwataja wababa wa namna hii. Maana mama anapanda ndege mpk bara la Asia... watu wanamimina vimiminika kinenani... then anapanda ndege tena mpaka barani Afrika mtoto anaibuka...

Hii inaitwa made in Asia for Africa...

Nadhani nina kaugonjwa ka wivu kwakuwa sijawahi kupanda drimulaina
 
[emoji1][emoji1][emoji1] labda kwakuwa tuna mipango mtoto aje kuwa na kiasili cha uvimba macho na kuongea kama unanena kwa lugha!
 
Bashite kapendwa kuliko hata akina joseph na jesca!
 
Wakati naanza kuusoma huu uzi nliwaza kitoto toto, baadaye mawazo yakapaa anga za mbali mpaka Kolomije yakarudi kwa kasi mpaka mkoani kwangu ugenini. Nikasema hiiiiiii!, nika-log off fasta ili nisije onekana kwenye CCTV wakati natia maguu kukomesha ubuyu wa Zanzibar usiendelee kuharibu vijana wangu hapa mjini kwa unga wa Gwajima mkuu wa Ufufuo kunifuta kwenye siasa madhabahuni kwake....
 
Tutegemee mabadiliko ya RC mpya anytime soon...najua Mshana Jr umeona pia kuwa huu ukimya wa mkuu kutokana na makosa mfululizo ya mwanae mpendwa wa hiari,tena ya kipuuzi/kike kike,yatakuwa yanamkosesha usingizi,naamini kuna kitu kinafikiriwa juu yake,tukae tu mkao,standby mode activation!
ili ule msemo wa manung`uniko ya wengi laana,utimie tuheme!
 
😀😀😀😀
 
Huyu ndugu yetu huwa ananifurahisha kwenye nguo anazovaa tu,

Hivi kuna mtu yeyote huwa anamdanganya amependeza[emoji28][emoji28][emoji28]??
hahaaa shati kubwa kama limejazwa Upepo
 
Hahaa mtoto ana mzalilisha baba".. kiongozi mkubwa ana acha kufanya kazi iliyomuweka madarakani ana hangaika na Tafrija za party ya birthday".. mbaya zaidi akipewa nafasi ya kuongea anaongea utumbo kuliko hata kichaa mwenyewe
 
hata katika maandiko watoto pendwa wapooo sana ....ila wakati ulipotimia baba zao waliwatoa sadaka kwa namna moja ama nyingine ili mapenzi yake yatimiee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…