Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
BABA: mwanangu mbona skuizi wapenda niita DAD badala ya BABA
BINTI : kuita baba kunamaliza lipstick
BINTI : kuita baba kunamaliza lipstick
Nimejaribu piaUmenifanya mpk nimejaribu kuita DAD na BABA
hata mimi nimefanya hilo zoeziUmenifanya mpk nimejaribu kuita DAD na BABA
Hata MimiUmenifanya mpk nimejaribu kuita DAD na BABA