sabuwanka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 691
- 759
Kuna mzee mmoja ni afisa mwandamizi wa idara ya mifugo halmashauri( jina linahifadhiwa) alimuaga mke wake ( ni daktari wa binadamu mwandamizi) kuwa ana Safari ya kikazi mwanza, mzee kafungashiwa nguo za Safari na kuaga familia....
kumbe hakwenda Mwanza kaenda nje ya mji anaoishi na mchepuko wake katika guest bubu mojawapo, kwa bahati mbaya/nzuri maji ya vyumbani yalikuwa hayatoki baada ya kazi nzito mzee kachukua taulo na ndoo akaenda kuoga bafu la nje.....ile anatoka kuoga akagongana uso kwa kwa uso na binti yake anayesomea stashada ya maendeleo ya Jamii ( chuo kinahifadhiwa) naye anatoka kuoga akiwa kajifunga kitenge...
.mzee kumuona binti yake akadondondosha ndoo na kuanza kufoka huku alimuuliza hapa ndio chuo?me Ada ninayolipa ndio kazi yake hii?binti alipata mshtuko na kudondosha ndoo na kukimbilia chumbani kwa msela wake! Mzee kaanza kufoka kwa nguvu!!baada ya watu kujaa rafiki yangu alikuwa mmojawapo ...akasogea na anamjua mzee inn and out...akaumaliza ugomvi kwa kuwaambia warudi nyumbani mtoto asimwambie mama aliyoyaona, na baba asimwambie mkewe juu ya aliyoyaona kwa binti yake!! Hatujui Kama ushauri huo utafanya kazi!! Kama wewe ndio mzee mchepukaji au binti mchepukaji utachukua hatua gani?