TANZIA Baba Mzazi wa Nikki Mbishi Afariki

TANZIA Baba Mzazi wa Nikki Mbishi Afariki

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,459
Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania, Nikk Mbishi, amepata pigo kubwa kufuatia kifo cha baba yake mzazi, John Marwa Machuche, kilichotokea tarehe 02 Agosti 2025.

Msiba ulihudhuriwa nyumbani kwa marehemu, Mzee Machuche, katika Mtaa wa Kwa Makobe, Ukonga.

Ibada ya misa takatifu ya kumuaga marehemu ilifanyika katika Kanisa la Katoliki Kigango cha Mtakatifu Monica, Ukonga.

Mazishi yalifanyika katika makaburi ya Bwela, yaliyoko katika eneo hilo hilo la Ukonga.

Tumempumzisha vyema mzee wetu John Machuche kwenye nyumba yake ya milele katika makaburi ya Ukon.jpg




Pole sana mtani wangu Mkurya @nikkimbishi999 Tupo pamoja na wewe katika wakati huu mgumu uliopa.jpg


 
Back
Top Bottom