Wakati wa jk,msimamo wa kanisa ilikuwa ni katiba mpya,
na kanisa lilijipa kazi ya kuelimisha wananchi kuhusu uzuri wa katiba mpya inayotokana na maoni ya watu kama tume ya warioba ilivyoanisha,
sasa ghafla tena kanisa halina haja na katiba bali linataka huduma za jamii ,
kwani katiba mpya itazuia huduma za jamii?,
pengo hawezi kubadilika,
huyu mzee analaumiwa tangu miaka ya 90,watu walidhani anaonewa,sasa mmejionea wenyewe live bila chenga.
Mimi nilishasemaga mtu ukishavuka miaka hamsini sio vizuri kuendelea kuwa mchumia tumbo,
kwani mpaka hapo starehe zote umepitia,chakula chochote ushakula na miaka hiyo ni njia panda ya kwenda kufukiwa,
kwanini uondoke humu duniani ukiacha nyuma sifa ya uchumia tumbo?