Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Najaribu kutafakari hapa nani kati yao kichwa chake kitupu ila naanza kupata mwanga embu endeleeni kuchangia tena na tena
Sasa kosa ninini? Askofu Severin NiweMugizi amesemea msimamo wake kwenye utawala wake .WanaJF
Salaam kwenu!
Haya ni maoni ya Mlei wa Kanisa Katoliki DSM kufuatia kutofautiana hadharani kwa Mwadhama Policarp Pengo na Makamu wa RAIS wa TEC Askofu Severine Niwemugizi....Endelea...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC lina Kurugenzi na idara nyingi. Kiutawala Muadhama Polycarp Kardinali Pengo sio Mkuu wa Kanisa Katoliki wala si msemaji wake.
Mkuu na msemaji wa Kanisa Katoliki ni Rais wake Bishop Tarcisius Ngalalekumtwa na ndie Msemaji wake. Kuna Maaskofu na mapadre ambao ni wakurugenzi wa idara mbalimbali katika kanisa kama:-
Idara ya kichungaji.
Idara ya liturjia.
Idara ya haki na amani.
Idara ya katekesi.
Idara ya miito
Na nyinginezo wanayo dhamana ya kusemea idara zao.
Mhashamu Severini Niwemugizi hawezi kufungwa na msimamo wa Pengo anayeliingiza kanisa kwa nguvu katika siasa zinazo mfanya apoteze heshima yake.
Askofu wa kanisa katoliki ana mamlaka ya kiutawala na kichungaji katikak jimbo lake. Ndiyo maana hata ibada za kikatoliki askofu au padre hawezi kufanya ibada ktk jimbo lisilo lake hadi ruhusa ya askofu mahalia. Muadhama Pengo ni Askofu wa DSM wakati Niwemugizi ni wa Rulenge- Ngara.
Hivyo kila mmoja anayo mamlaka kamili na dhamira yake na hafungwi na mtazamo wa mwenzake. Ikumbukwe pia Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ni Askofu Severine Niwemugizi
Kuhusu mambo yanayohusu imani kikanda yanasimamiwa na maaskofu wakuu na hapa kuna Mwanza, Dodoma, Arusha, DSM, Songea na Tabora na hapa ni kama kuna rufaa mbalimbali kutoka kwa waumini, watawa na au mapadre na kitaifa ndipo Muadhama anapohusika ikiwa ni pamoja na usharika wa makardinali wote duniani ambao pia huhusika na uchaguzi wa Papa.
Sasa ni vema huyu Muadhana Kardinali pengo atuambie Baba Niwemugizi amevunja kanuni ipi ya kanisa au na canon law. Niwemugizi kama Muadhama Pengo anafikiri Msimamo wake binafsi unawakilisha kanisa katoliki la Tanzania anapotosha kusudi kwa malengo maovu ya kisiasa.
Mahaba yake kwa CCM yanamfumba hata kusahau kosa kubwa Magufuli analofanya kama Mkristu na Mseminari kwa kukiuka mafundisho ya msingi ya Yesu mwenyewe, " Mpende Bwana Mungu wako kwa akili yako yote na mpende jirani yako kama nafsi yako.
Ndimi Mkatoliki wa DSM
Hata Rwanda wale mapadri na maaskofu wa kikatoliki walioshitakiwa na ICRT pale Arusha walikuwa wanajielewa sana kama askofu Pengo na walikuwa wateule wa Baba yenu MtakatifuManataka Pengo awe kamanda kama tapeli gwajima? Pengo anajielewa na anaijua kweli, endeleeni kumchokonoa ikulu mtaiskia kwenye vilabu vya mbege.
Na je Msimamo wa Pengo ni wa Kanisa?.Kwani Niwemugizi alitamka wapi anaongea msimamo wa Kanisa.?Mkuu hata mimi najiuliza. Kwani Muadhama Pengo kakosea wapi? (Full disclosure: mimi ni RC na naamini kwenye umuhimu wa katiba mpya). Lakini mimi sioni kosa. Mhashamu Askofu Niwemugizi alitoa maoni yake. Na alichofanya Muadhama ni kusema kwamba msimamo wa Niwemugizi siyo msimamo rasmi wa Kanisa. Sasa kosa li wapi?
Anyway labda tutajuzwa kosa la Mhashamu Niwemugizi vinginevyo sioni kosa lake (labda kwa sababu Niwemugizi kaongea lile wengi tunalopenda kulisikia na Muadhama hakuongea lile wengi tunalotaka au tungependa kulisikia kutoka kwake.
Ni uwezo wa kukupa mifano 12 ya sehemu mbali mbali duniani ambako maaskofu katoliki walihusika na vita na mauaji ya raiaKosa lake ni kusema maneno ya askofu niwemugizi si msimamo wa kanisa? Ni ilo tu au kuna lingine?
WanaJF
Salaam kwenu!
Haya ni maoni ya Mlei wa Kanisa Katoliki DSM kufuatia kutofautiana hadharani kwa Mwadhama Policarp Pengo na Makamu wa RAIS wa TEC Askofu Severine Niwemugizi....Endelea...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC lina Kurugenzi na idara nyingi. Kiutawala Muadhama Polycarp Kardinali Pengo sio Mkuu wa Kanisa Katoliki wala si msemaji wake.
Mkuu na msemaji wa Kanisa Katoliki ni Rais wake Bishop Tarcisius Ngalalekumtwa na ndie Msemaji wake. Kuna Maaskofu na mapadre ambao ni wakurugenzi wa idara mbalimbali katika kanisa kama:-
Idara ya kichungaji.
Idara ya liturjia.
Idara ya haki na amani.
Idara ya katekesi.
Idara ya miito
Na nyinginezo wanayo dhamana ya kusemea idara zao.
Mhashamu Severini Niwemugizi hawezi kufungwa na msimamo wa Pengo anayeliingiza kanisa kwa nguvu katika siasa zinazo mfanya apoteze heshima yake.
Askofu wa kanisa katoliki ana mamlaka ya kiutawala na kichungaji katikak jimbo lake. Ndiyo maana hata ibada za kikatoliki askofu au padre hawezi kufanya ibada ktk jimbo lisilo lake hadi ruhusa ya askofu mahalia. Muadhama Pengo ni Askofu wa DSM wakati Niwemugizi ni wa Rulenge- Ngara.
Hivyo kila mmoja anayo mamlaka kamili na dhamira yake na hafungwi na mtazamo wa mwenzake. Ikumbukwe pia Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ni Askofu Severine Niwemugizi
Kuhusu mambo yanayohusu imani kikanda yanasimamiwa na maaskofu wakuu na hapa kuna Mwanza, Dodoma, Arusha, DSM, Songea na Tabora na hapa ni kama kuna rufaa mbalimbali kutoka kwa waumini, watawa na au mapadre na kitaifa ndipo Muadhama anapohusika ikiwa ni pamoja na usharika wa makardinali wote duniani ambao pia huhusika na uchaguzi wa Papa.
Sasa ni vema huyu Muadhana Kardinali pengo atuambie Baba Niwemugizi amevunja kanuni ipi ya kanisa au na canon law. Niwemugizi kama Muadhama Pengo anafikiri Msimamo wake binafsi unawakilisha kanisa katoliki la Tanzania anapotosha kusudi kwa malengo maovu ya kisiasa.
Mahaba yake kwa CCM yanamfumba hata kusahau kosa kubwa Magufuli analofanya kama Mkristu na Mseminari kwa kukiuka mafundisho ya msingi ya Yesu mwenyewe, " Mpende Bwana Mungu wako kwa akili yako yote na mpende jirani yako kama nafsi yako.
Ndimi Mkatoliki wa DSM
WanaJF
Salaam kwenu!
Haya ni maoni ya Mlei wa Kanisa Katoliki DSM kufuatia kutofautiana hadharani kwa Mwadhama Policarp Pengo na Makamu wa RAIS wa TEC Askofu Severine Niwemugizi....Endelea...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC lina Kurugenzi na idara nyingi. Kiutawala Muadhama Polycarp Kardinali Pengo sio Mkuu wa Kanisa Katoliki wala si msemaji wake.
Mkuu na msemaji wa Kanisa Katoliki ni Rais wake Bishop Tarcisius Ngalalekumtwa na ndie Msemaji wake. Kuna Maaskofu na mapadre ambao ni wakurugenzi wa idara mbalimbali katika kanisa kama:-
Idara ya kichungaji.
Idara ya liturjia.
Idara ya haki na amani.
Idara ya katekesi.
Idara ya miito
Na nyinginezo wanayo dhamana ya kusemea idara zao.
Mhashamu Severini Niwemugizi hawezi kufungwa na msimamo wa Pengo anayeliingiza kanisa kwa nguvu katika siasa zinazo mfanya apoteze heshima yake.
Askofu wa kanisa katoliki ana mamlaka ya kiutawala na kichungaji katikak jimbo lake. Ndiyo maana hata ibada za kikatoliki askofu au padre hawezi kufanya ibada ktk jimbo lisilo lake hadi ruhusa ya askofu mahalia. Muadhama Pengo ni Askofu wa DSM wakati Niwemugizi ni wa Rulenge- Ngara.
Hivyo kila mmoja anayo mamlaka kamili na dhamira yake na hafungwi na mtazamo wa mwenzake. Ikumbukwe pia Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ni Askofu Severine Niwemugizi
Kuhusu mambo yanayohusu imani kikanda yanasimamiwa na maaskofu wakuu na hapa kuna Mwanza, Dodoma, Arusha, DSM, Songea na Tabora na hapa ni kama kuna rufaa mbalimbali kutoka kwa waumini, watawa na au mapadre na kitaifa ndipo Muadhama anapohusika ikiwa ni pamoja na usharika wa makardinali wote duniani ambao pia huhusika na uchaguzi wa Papa.
Sasa ni vema huyu Muadhana Kardinali pengo atuambie Baba Niwemugizi amevunja kanuni ipi ya kanisa au na canon law. Niwemugizi kama Muadhama Pengo anafikiri Msimamo wake binafsi unawakilisha kanisa katoliki la Tanzania anapotosha kusudi kwa malengo maovu ya kisiasa.
Mahaba yake kwa CCM yanamfumba hata kusahau kosa kubwa Magufuli analofanya kama Mkristu na Mseminari kwa kukiuka mafundisho ya msingi ya Yesu mwenyewe, " Mpende Bwana Mungu wako kwa akili yako yote na mpende jirani yako kama nafsi yako.
Ndimi Mkatoliki wa DSM
Nime Ipenda Idara ya haki na amani. Uwepo wakeWanaJF

Hakumsikiliza niwemugizi vizuri kwasababu niwemugizi aliweka wazi kuwa sio msimamo wa kanisa bali wake peke yakeKosa lake ni kusema maneno ya askofu niwemugizi si msimamo wa kanisa? Ni ilo tu au kuna lingine?
Na ina mkuu wake sasa sijui pengo ni uccm wake unamsumbuaNime Ipenda Idara ya haki na amani. Uwepo wake
Ngoja Sadaka na Michango Kanisani Ipungue na Mapato hayo Kuanza kukatwa Kodi Ndipo Akili zita mkaa sawaNa ina mkuu wake sasa sijui pengo ni uccm wake unamsumbua
Mpaka amesahau maovu katika jamii
Unadhani kugoma ni mpaka watu waingie barabarani au watangaze?? Madaktari na walimu wanaweza kugoma bila wewe kujua.100% correct. Hamna cha mgomo wa Madaktari, walimu wala wanafunzi UDSM! Kama hawaoni hali ya sasa ilivo!
dawa yake muwe mnasusia ibada zake aongee na viti, akili itarudi!WanaJF