Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 100
nasikia huyu ndo baba mtoto wa fina....wadau mnasemaje?
nasikia huyu ndo baba mtoto wa fina....wadau mnasemaje?
Kwani wameshaoana? Acheni kufagilia Uzinzi!!!safi sana fina mango
wapi u turn?Pelekeni upuuzi huu kwenye jukwaa husika, jukwaa hili halina nafasi hiyo. Jifunzeni matumizi sahihi ya majukwaa. Elimu hii hutolewa bure.
Haya dada zetu siku hizi fasheni ni kuzaa na walami aka WAZUNGU tehetehe bongo bana
umbea tu? mwanaume mzima huna hata haya? au wewe ni mwandishi wa magazeti ya udaku unatafuta news? mnh:ballchain:
Wadada fulani niwajuao wanasema wazungu wanajua kuwapa raha kujisikia wanawake/mke sio watz eti kutwa akili nyumba ndogo etc
ALIKUAMBIA KUWA TIQO KWAO NI KAMA CHACHANDU WAKATI WA KULA PANDE LA MHOGO, HIVYO WANAVUMILIA MENGI TEH TEH:lol:
Dah!!!! kumbe hawa jamaa wastaarabu eeeh! tehetehetehe !!!hakuna lolote msiwatie hila,si wote wala tigo na hata kama anataka atakuomba ukikataa imetoka sio kama nyie kaka zetu mnaotelezesha hovyo,wazungu juuuuuuuu:lol:
ndiyo jamani ni yeye haswaaaaa, nakumbuka nshamwona kwa Babu(Loliondo) akipata kikombe ktakatfu. Siku hz kanona ile mbaya c unaona hlo shavu kama kaficha bagia..!!