moonlightj12
Member
- Dec 6, 2022
- 33
- 90
Huyo anapenda ya kusikia,na wajanja wanamsuka huko huko kwenye Udaku wake!!!Taratibu Mama embu eleza kwa kituo nini kimekupata
Ukishagundua inabidi utulie km haujamfahamu.Niliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona
Naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia
Ni kijana mmoja very smart mstaarabu wa sura ila roho yake nimeshangaa sana nahisi alieniletea izi habari anaweza kua muongo
Ntakuja na Uzi kamili bado najarbu kudigest habari nimepigwa na butwaa kubwa...
I think I'm loosing my mind
Wanoko wamekujaza maneno, aliekuambia amejuaje?Niliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona
Naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia
Ni kijana mmoja very smart mstaarabu wa sura ila roho yake nimeshangaa sana nahisi alieniletea izi habari anaweza kua muongo
Ntakuja na Uzi kamili bado najarbu kudigest habari nimepigwa na butwaa kubwa...
I think I'm loosing my mind
Nobody is perfect! Lichukulie hilo kama changamoto itakayokupima hekima na ukomavu wa kusolve issues ndani ya familiaNiliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona, naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia.
Ni kijana mmoja very smart, mstaarabu wa sura ila roho yake nimeshangaa sana, nahisi alieniletea izi habari anaweza kua muongo.
Ntakuja na Uzi kamili bado najarbu kudigest habari, nimepigwa na butwaa kubwa.
I think I'm loosing my mind!
Good move, watu huwa ni waongo sana na habari za watu usizifanyie kazi kabla ujathibitishaNiliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona, naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia.
Ni kijana mmoja very smart, mstaarabu wa sura ila roho yake nimeshangaa sana, nahisi alieniletea izi habari anaweza kua muongo.
Ntakuja na Uzi kamili bado najarbu kudigest habari, nimepigwa na butwaa kubwa.
I think I'm loosing my mind!
Fiche aibu ya mmeo
Kabila gani huyo?Niliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona, naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia.