Baba Mkwe wangu ananitishia NISHAURINI

Baba Mkwe wangu ananitishia NISHAURINI

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
652
Reaction score
607
Ni wiki imepita tangu nimrejeshe kwao wife kwa mara ya kwanza tangu tuoane miaka 10 iliyopita kutokana na kutozingatia makubaliano tunayowekeana kama couple na jeuri, ubabe pamoja na kiburi. Lengo la kumpeleka si kumfukuza bali ili wazazi wamhoji na kumshauri baada ya wazazi wangu kufanya kazi hiyo miaka zaidi ya 9. Wazazi wangu (mwanaume) wamekuwa kimbilio la mke wangu kwa zaidi ya miaka 9 hata pale mkosa anapokuwa ni yeye akiamini wao nitawasikiliza zaidi pale wanapoomba nimsamehe wife. Kwa upande mwingine hajawahi kimbilia kwao licha ya kuwa jirani na tunapoishi kwa kuona ndugu zake watamwona ameshindwa kuishi ktk ndoa. This time nimemwambia aende kwa wazazi wake na then tutaongea mambo yote pale baada ya wiki moja.

Siku mbili baada ya kufika kwao Mama yake kaanza kulaani mimi(mume) kumpa binti yao masharti ya kuishi ktk ndoa na kusema ni marufuku mimi kumpa masharti binti yao. Kwa tone hiyo hiyo siku nne baadaye baba mkwe kanipigia simu KUNITISHIA KWAMBA atamleta KWA NGUVU BINTI YAKE huku mama yake akisema nisipofungua nyumba wakati wa kumleta WATAVUNJA MLANGO WAMWINNGIZE NDANI.

Cha ajabu hawa wazazi wa binti hawajawahi niuliza tuna ugomvi gani, tometofautiana nini bali kunilaumu hata bila kunisikiliza. Hali hii inanifanya niamini kuwa ujeuri, ubabe na kiburi cha binti yao ambaye ni mke wangu kinakuzwa na hawa wazazi wake kwa kutokuwa rational.
Ndugu zangu wanachukulia huu kama udhalilishaji na vita isiyokuwa ya lazima ya ukoo na dharau kwa upande si wa ndugu zangu tu bali hata kwa mume wa binti yao.
NISAIDIENI BUSARA ZA KU REACT!!!!
 
Kaka umekuwa mstaarabu sana kama hukuwajibu vibaya kwani hao wazazi wanaonekana wapuuzi na kwamba kwa staili hiyo ni vigumu huyo binti kubadilika. Walitakiwa wawaite kabla ya ku comment kitu kwani wote ni watoto wao ili wawasuluhishe kwa kiwango cha juu cha busara na si upuuzi waliofanya.
 
mwanakwetu pole sana. Kuwa katika ndoa yenye matatizo kwa miaka kumi mfulilizo its not a joke!
Kwetu sisi Kirua dada akishaolewa kurudi nyumbani mwiko....so ingekuwa ni mimi nisisingeweza kumrudisha kwa wazazi wake na nikifanya hivyo hawatomlaza kamwe tena unasema ni karibu wangemleta hata kama saa nane za usiku kufind out what is wrong!

Yawezekana kwenu ni tofauti na kwetu lakini bottom line ni kuwa hao wazazi kama kama alivyo mtoto wao hawana busara hivyo kama unataka kumpata mshauri na msuluhishi mwema, undo....umepotea.
 
Kutishia kuvunja nyumba kumwingiza binti ni kumdharau mkwe wao na kumfanya useless na hapa definitely wameamua kuivunja hiyo ndoa wakifikiri wanamsaidia binti yao.
Je walikupa hata chance ya kukusikiliza ?
 
Nimeshangazwa sana na mtazamo wa wazazi na haswa walivyoni geuka
 
Nilisubiri hata wanipigie kuniita badala yake wananitishia bila hata kujua tatizo lililotufikisha hapo? Hapo nalazimishwa kuishi na tatizo ambalo wao wangekuwa na hekima kidogo kama wazazi wangu solution ingekuwa simple. Wa kuonywa aonnywe na wakupewa pole apewe tuanze ukurasa mpya.
 
Hakyanani hao wazazi busara F.. hapo mke unaye kaka... Kama wamefikia hatua hiyo na akili zao ziko pungufu kiasi hicho mtumie mshenga wako na watu wa makamo wawili au watatu wanaozijua mila na desturi za kabila la mkeo wawakutanishe wewe, mkeo na wazazi wa pande zote mbili ikiwezekana ili mjadili kila kitu in and out.. vinginevyo utaja mchapa babamkwe makonde.
 
Nakushauri mtafutie bi mdogo kuongeza ushindani,mimi sasa hivi nimeamini kuwa ukitaka kujua tabia ya binti fuatilia tabia ya mama mzazi ama mlezi![/QUOTE]
Kwa hali kama yangu usemalo halina ubishi
 
Aliponipa matisho sikumjibu nikajifanya mjinga I respect him ila nilisikia ndani nikichemka
 
Kitendo cha kutaka kumleta kwako kwa nguvu na hata kudiriki kutaka kuvunja mlango na kumwingiza ndani,ni dalili ya kwamba hawampendi mtoto wao.Tayari kwao ni mzigo.Wanaamini kwa dhati hilo ni zigo lako.
 
Ndoa ni tasisi inayoendeshwa kwa makubaliano ya watu wawili ambayo kama kampuni kila mmoja moral ana mchango wake mkubwa tu kwa ustahimilivu wa asasi hii. Mwana Kwetu yumkini wife alikosea lakini nawe una mchango wako kwenye kuhalalisha hilo kosa alilolifanya mkeo!

Wakwe zako walikwisha maliza muda wao wa warant as Manufactures,how come umemtumia binti yao for almost ten years excluding muda mliodate kabla ya kuwa wachumba na wanandoa halafu leo umrudishe kirahisi rahisi tu...hata kama alikosea ni jitihada gani ulizochukua? Ina maana miaka yote tisa yeye ndiye alikuwa mkosaji tu? Na hiyo _ve side yake hukuiona wakati wa uchumba? Embu funguka vizuri isijekuwa wewe ndiye mkosaji unatafuta sympath hapa!
 
Last edited by a moderator:
Kwatabia walio onesha wazazi wake mkeo ni dhahiri vituko vyote, ukorofi na ujeuri anao kufanyia mkeo ni matokeo ya malezi alio pewa na hao wazazi wake.

Naamini mpaka sasa utakuwa umeisha jua mkeo na familia yake ni watu wa aina gani.

Kwahali ilivyo jionesha una hitaji wewe mme utumie busara zako sasa kumaliza hiyo kesi maana mna weza kuingia kwenye ugomvi mkubwa kama na wewe hautokuwa makini kitu kinacho weza pelekea hata ndoa yenu kuvunjika au kuto kuwa na maelewano mazuri ya kudumu baina yako wewe na wakwe zako,
 
Ni wiki imepita tangu nimrejeshe kwao wife kwa mara ya kwanza tangu tuoane miaka 10 iliyopita kutokana na kutozingatia makubaliano tunayowekeana kama couple na jeuri, ubabe pamoja na kiburi. Lengo la kumpeleka si kumfukuza bali ili wazazi wamhoji na kumshauri baada ya wazazi wangu kufanya kazi hiyo miaka zaidi ya 9. Wazazi wangu (mwanaume) wamekuwa kimbilio la mke wangu kwa zaidi ya miaka 9 hata pale mkosa anapokuwa ni yeye akiamini wao nitawasikiliza zaidi pale wanapoomba nimsamehe wife. Kwa upande mwingine hajawahi kimbilia kwao licha ya kuwa jirani na tunapoishi kwa kuona ndugu zake watamwona ameshindwa kuishi ktk ndoa. This time nimemwambia aende kwa wazazi wake na then tutaongea mambo yote pale baada ya wiki moja.

Siku mbili baada ya kufika kwao Mama yake kaanza kulaani mimi(mume) kumpa binti yao masharti ya kuishi ktk ndoa na kusema ni marufuku mimi kumpa masharti binti yao. Kwa tone hiyo hiyo siku nne baadaye baba mkwe kanipigia simu KUNITISHIA KWAMBA atamleta KWA NGUVU BINTI YAKE huku mama yake akisema nisipofungua nyumba wakati wa kumleta WATAVUNJA MLANGO WAMWINNGIZE NDANI.

Cha ajabu hawa wazazi wa binti hawajawahi niuliza tuna ugomvi gani, tometofautiana nini bali kunilaumu hata bila kunisikiliza. Hali hii inanifanya niamini kuwa ujeuri, ubabe na kiburi cha binti yao ambaye ni mke wangu kinakuzwa na hawa wazazi wake kwa kutokuwa rational.
Ndugu zangu wanachukulia huu kama udhalilishaji na vita isiyokuwa ya lazima ya ukoo na dharau kwa upande si wa ndugu zangu tu bali hata kwa mume wa binti yao.
NISAIDIENI BUSARA ZA KU REACT!!!!

Huna mke hapo Mkuu,fanya utaratibu wa kutafta replacement

Kaka umekuwa mstaarabu sana kama hukuwajibu vibaya kwani hao wazazi wanaonekana wapuuzi na kwamba kwa staili hiyo ni vigumu huyo binti kubadilika. Walitakiwa wawaite kabla ya ku comment kitu kwani wote ni watoto wao ili wawasuluhishe kwa kiwango cha juu cha busara na si upuuzi waliofanya.

Ni kweli ipo siku atakuchapa makonde

mwanakwetu pole sana. Kuwa katika ndoa yenye matatizo kwa miaka kumi mfulilizo its not a joke!
Kwetu sisi Kirua dada akishaolewa kurudi nyumbani mwiko....so ingekuwa ni mimi nisisingeweza kumrudisha kwa wazazi wake na nikifanya hivyo hawatomlaza kamwe tena unasema ni karibu wangemleta hata kama saa nane za usiku kufind out what is wrong!

Yawezekana kwenu ni tofauti na kwetu lakini bottom line ni kuwa hao wazazi kama kama alivyo mtoto wao hawana busara hivyo kama unataka kumpata mshauri na msuluhishi mwema, undo....umepotea.

Kutishia kuvunja nyumba kumwingiza binti ni kumdharau mkwe wao na kumfanya useless na hapa definitely wameamua kuivunja hiyo ndoa wakifikiri wanamsaidia binti yao.
Je walikupa hata chance ya kukusikiliza ?

Nakushauri mtafutie bi mdogo kuongeza ushindani,mimi sasa hivi nimeamini kuwa ukitaka kujua tabia ya binti fuatilia tabia ya mama mzazi ama mlezi!

Nimeshangazwa sana na mtazamo wa wazazi na haswa walivyoni geuka

Nilisubiri hata wanipigie kuniita badala yake wananitishia bila hata kujua tatizo lililotufikisha hapo? Hapo nalazimishwa kuishi na tatizo ambalo wao wangekuwa na hekima kidogo kama wazazi wangu solution ingekuwa simple. Wa kuonywa aonnywe na wakupewa pole apewe tuanze ukurasa mpya.

Hakyanani hao wazazi busara F.. hapo mke unaye kaka... Kama wamefikia hatua hiyo na akili zao ziko pungufu kiasi hicho mtumie mshenga wako na watu wa makamo wawili au watatu wanaozijua mila na desturi za kabila la mkeo wawakutanishe wewe, mkeo na wazazi wa pande zote mbili ikiwezekana ili mjadili kila kitu in and out.. vinginevyo utaja mchapa babamkwe makonde.

Nakushauri mtafutie bi mdogo kuongeza ushindani,mimi sasa hivi nimeamini kuwa ukitaka kujua tabia ya binti fuatilia tabia ya mama mzazi ama mlezi![/QUOTE]

Kwa hali kama yangu usemalo halina ubishi
Nyie wote mna mfumo dume!

Cha msingi hapa ni kumuuliza huyu mleta mada,,,,Je ni mambo gani ambayo yeye yuko deficient nayo?

Mleta mada utakuwa na tatizo serious ambalo wewe binafsi hujalisema hapa, au la hutaki kulisema hadharani, na hiyo itafanya wachangiaji washindwe kutoa fair decision au rule out!

Je huyo mwanamke anaanza spontaneously kufanya kiburi bila kisababishi?...sema unachomfanyia bana!

Nilivyokusoma we jamaa unaonyesha kwamba una MASHARTI MAZITO sana unayomwekea mkeo, na ndiyo maana wazazi wake wameona hiyo haitafaa kuendelea!

Jichunguze upande wako, kwanini umwekee masharti binadamu ambaye ni mkeo, kama vile unamfuga?

Je yeye amekuwekea MASHARTI?

Nikiangalia kwa uzoefu jambo hili, MASHARTI ndani ya ndoa ni kitu kibaya sana!

Mimi kwa uzoefu wangu nahisi huenda unamwambia mkeo kuwa:

-Mwisho wa kurudi nyumbani kama ulitoka ni saa 11.00 jioni!
-Ukipika wali pima kwa vikombe viwili tu, hata kama kuna wageni!
-Marufuku kuleta ndugu zako hapa!
-marufuku kuleta mashoga zako nyumbani.
-Nikiwa nafika nyumbani hakikisha maji ya kuoga yapo tayari bafuni.
-dozi kutwa mara mbili.
-nikiondoka nyumbani tu hakikisha unazima umeme kwenye saketi-breka!
-na vitu vya namna hiyo!

Kweli kabisa broda kama una masharti ya hivyo, au yanayoendana na hayo ndoa imekushinda, na utaoa hata mara 5 lakini usipobadilika wewe unacheza tu!

WEKA HADHARANI HAPA, MASHARTI UNAYOMPA MKEO HADI WAZAZI WAKE WANAKOSA SUBIRA, NI YEPI HAYO?
Ndoa ni taasisi inayoendeshwa kwa two way traffic na siyo dominant and recessive party!

Ngoja tujaribu kuvaa uhusika wa hao wazazi; fikiria wewe Mwana Kwetu mwanao ameolewa na kuishi na mume miaka 10 hujasikia malalamiko yoyote kutoka kwa mkwe wako. Ghafla unashangaa binti yako anarudishwa kuja kujifunza adabu bila maelezo yoyote kutoka kwa mkweo; elewa hapo binti ni lazima avutie kwake! Je wewe ungekubaliana na hilo? usingehamaki na kutoa vitisho? nani angependa kurudishiwa binti aliyeshindana na mumewe? Wao hawakutakiwa waanze kukuhoji wewe matatito ya mtoto wao kwa kuyasikia pembeni; Wewe pia ulitakiwa uende kuongea na wakwezo mapema kuhusiana na tabia za mkeo. Siwatetei kwamba sio wakorofi ila najaribu kukuonyesha hata wao wanakuona wewe mkorofi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtizamo wangu mimi naona tatizo kubwa hapa ni channels of communication. Maswala ya communication na wakwe mara nyingi yanapitia kwa mshenga, hii inapunguza uwezekano wa flare ups wakati mnapotoa inflammatory comments. Kwa maelezo yako sioni kama ulituma mshenga ili kumediate hii ishu yenu.
Ingekuwa vizuri utumie mshenga kutatua tatizo hili.
 
Vp kwa upande wa mke yeye anareact vp je anatoa maelezo yoyote ya kukuplease au yuko kmya tu?
 
Ndoa ni tasisi inayoendeshwa kwa makubaliano ya watu wawili ambayo kama kampuni kila mmoja moral ana mchango wake mkubwa tu kwa ustahimilivu wa asasi hii. Mwana Kwetu yumkini wife alikosea lakini nawe una mchango wako kwenye kuhalalisha hilo kosa alilolifanya mkeo!

Wakwe zako walikwisha maliza muda wao wa warant as Manufactures,how come umemtumia binti yao for almost ten years excluding muda mliodate kabla ya kuwa wachumba na wanandoa halafu leo umrudishe kirahisi rahisi tu...hata kama alikosea ni jitihada gani ulizochukua? Ina maana miaka yote tisa yeye ndiye alikuwa mkosaji tu? Na hiyo _ve side yake hukuiona wakati wa uchumba? Embu funguka vizuri isijekuwa wewe ndiye mkosaji unatafuta sympath hapa!

Nimeeleza crisis zetu tumekuwa tukishughulika nazo kwa muda mrefu. nilikusudia kumrudisha alikotoka muda mrefu kwa sababua mtu kama mkekubaliana kuishi kwa amani na upendo na mmoja wenu zile ingredients za upendo na amani anazivuruga maksudi message unayopata ni kwamba hataki muishi kwa upendo na amani. Na kama hamna hivyo vitu ndoa haiwezi kuwa na progress wala kufanya maendeleo mtaishia kila siku kugomba. Matatizo yalipozidi nilitaka kuachana muda mrefu ila akawa anawahi kwa mamam yangu mzazi na akawa anatusuluhisha na yeye wife kuahidi kubadilika lakini miaka ilivyozidi akawa jeuri anabadilika mwaka mmoja then anarudi kulekule.
This time nikasema labda akienda kwao tukakaa na wazazi pale kama last resort anaweza akaona kero na akabadilika tukarudi kuwa pamoja. Lakini to my suprise wazazi ndivyo walivyo react

Note; si kwamba mimi huwa sina matatizo ila ni mrahisi ninapolalamikiwa na wife huwa na change for good bila kurudia rudia tena kam yeye.
 
Back
Top Bottom