Mali ya mke ni ya mume pia kama ambavyo mali ya mume ni ya mke vilevile. Wana haki ya kurithi cha mama yao lakini na Mzee ana haki pia. Hawana haki kuitumia vipi na wana vyumba hapo? Mzee hana nguvu kama wao, wajitume!Mimi hayanihusu ila wife ndo anayaleta kwangu, ile nyumba ni ya mama wao hawana haki kuitumia mbona mzee ana iga'gania wakati yeye ndo alikua na jukumu la kuandalia hao watototo maisha.......wewe huoni kama kuna shida hapo
Unavyo andika kumbuka na wewe ni mwanaumeLeo asubuhi mke wangu, amenipigia simu nimpe ushauri kuhusi hili jambo, kati ya Baba ake na kijana wake wa mwisho (aged 28) Tatizo liko hivi huyu kijana mdogo wake wife kapata wazo la kutafuta mke kwasabb umri unaenda bila kuanzisha familia, kazi alio nao sio zuri kivile ila inaweza kulisha mke.
Marehemu mama yao (mama mke wangu ) alivo fariki ali waachia nyumba ya urithi kutoka kwa babu yao, wanao pagisha kwa sasa wa ligawana vyumba kila mtoto kapata mgao wa chumba kimoja kimoja, yeye Baba yao kapata vitatu ambavyo ni self, kwa kudai kwamba yule alikua mkewe kwahiyo ana haki kubwa kuliko wao, hawakubisha kwa sabb ni baba yao mzazi.
Tatizo liko hapa huyu Mdogo wao wa mwisho mwezi hu katia nia ya kufunga ndoa, mahare kapambana na kalipia mwenyewe na ya lipokelewa bila hata msaada wa baba ake mzazi, ameomba Baba ake mzazi amuachie vile vyumba vitatu self, aishi pale na mke we kwa mda, badala kuvikodisha watu baki yeye avikodishe pesa ya pango atamlipa.
Baba amekata kata kata,.... hapo mke wangu ndo anataka kuingilia hi issue kwa kudai ile nyumba ilikua ya mama wao mzazi wana haki ya kuimiliki na kuitumia kifamilia kwa ussue kama hiyo, tena kibaya zaidi huyu baba licha cha kusitaafu kazi baada ya kifo cha mke we, kaoa mke mgine kwa makazi yale yale ya mama yao na wife na pesa ya kulisha huyu mke ina toka kwenye nyumba hiyo ya marehemu mama yao.
Jamani Wanaume mambo mengine tuone aibu mkewo hajamaliza hata mwaka kabrini umeoa kweli? inauma sana ila wife ni memshauri atulie aache jaziba ya kumiita Baba yake kua mbinafsi mwenye roho mbaya asie penda maendeleo ya watoto wake, nimemkataza hasiendi uku wala asipige simu kwasababu atakuja kupata laana bure mzazi anabaki kua mzazi ata kama amekosea. Au nimemshauri sivyo? yule baba mkwe iko 70+ kwasasa ana pressure ya kupanda asije akasababisha kifo chake bure.
Hilo ndio hawajui kabisa, kwanza namlaumu marehemu hakutakiwa kuwaambia watoto si amemuacha mume, labda kama huyo mume hao sio watoto wake, Lakini ni wa kwake ndugu marehemu alikosea, watoto wasitembee katika hayo makosaMali ya mke ni ya mume pia kama ambavyo mali ya mume ni ya mke vilevile. Wana haki ya kurithi cha mama yao lakini na Mzee ana haki pia. Hawana haki kuitumia vipi na wana vyumba hapo? Mzee hana nguvu kama wao, wajitume!
Mzee ana jukumu moja tu la kuwakuza na kuwasomesha, hizo habari za kuwaandalia maisha ni optional sio sharti..kila mtu aandae maisha yake.Mimi hayanihusu ila wife ndo anayaleta kwangu, ile nyumba ni ya mama wao hawana haki kuitumia mbona mzee ana iga'gania wakati yeye ndo alikua na jukumu la kuandalia hao watototo maisha.......wewe huoni kama kuna shida hapo
Mi mzee wangu nimemaliza 6 ht chuo hakutaka niunge, akanitaftia kazi mkoa mwingine nikajifunze maisha kwanza...Mkuu umemaliza kila kitu,matatizo ya kufuga mtoto mpaka miaka 28 hajui hata kodi inalipwaje ndo haya! Mi nshasema ni marufuku mtoto kujenga karibu yangu,na pia miaka 21 sikutaki kwangu siwezi pikia wanaume wawili mimi
Yaani huyo dinglii ni noma an ndo inatakiwa hivyoMi mzee wangu nimemaliza 6 ht chuo hakutaka niunge, akanitaftia kazi mkoa mwingine nikajifunze maisha kwanza...
kitu alinipa ni godoro tu la kwenda kuanzia maisha...
siku Napanda basi akaniambia me and u are done, you are on your own, ww ni mtoto wa kiumbe ukapambane, ila ntakua nakuja kukutembelea kuona unaendeleaje...
nlimind sana bt now naelewa kwa nn alinitenda vile...Thank you Mshua for turning a boy into a Man...
once i settled, i never looked back, na sijawahi kuwazia mali zake ht kidogo...I will do the same to my kids, wacha wakue niwashangaze na roho zao...
Kapqnge nyumba nyingine,kwani ni lazima akae nyumba hiyo tu?Leo asubuhi mke wangu, amenipigia simu nimpe ushauri kuhusi hili jambo, kati ya Baba ake na kijana wake wa mwisho (aged 28) Tatizo liko hivi huyu kijana mdogo wake wife kapata wazo la kutafuta mke kwasabb umri unaenda bila kuanzisha familia, kazi alio nao sio zuri kivile ila inaweza kulisha mke.
Marehemu mama yao (mama mke wangu ) alivo fariki ali waachia nyumba ya urithi kutoka kwa babu yao, wanao pagisha kwa sasa wa ligawana vyumba kila mtoto kapata mgao wa chumba kimoja kimoja, yeye Baba yao kapata vitatu ambavyo ni self, kwa kudai kwamba yule alikua mkewe kwahiyo ana haki kubwa kuliko wao, hawakubisha kwa sabb ni baba yao mzazi.
Tatizo liko hapa huyu Mdogo wao wa mwisho mwezi hu katia nia ya kufunga ndoa, mahare kapambana na kalipia mwenyewe na ya lipokelewa bila hata msaada wa baba ake mzazi, ameomba Baba ake mzazi amuachie vile vyumba vitatu self, aishi pale na mke we kwa mda, badala kuvikodisha watu baki yeye avikodishe pesa ya pango atamlipa.
Baba amekata kata kata,.... hapo mke wangu ndo anataka kuingilia hi issue kwa kudai ile nyumba ilikua ya mama wao mzazi wana haki ya kuimiliki na kuitumia kifamilia kwa ussue kama hiyo, tena kibaya zaidi huyu baba licha cha kusitaafu kazi baada ya kifo cha mke we, kaoa mke mgine kwa makazi yale yale ya mama yao na wife na pesa ya kulisha huyu mke ina toka kwenye nyumba hiyo ya marehemu mama yao.
Jamani Wanaume mambo mengine tuone aibu mkewo hajamaliza hata mwaka kabrini umeoa kweli? inauma sana ila wife ni memshauri atulie aache jaziba ya kumiita Baba yake kua mbinafsi mwenye roho mbaya asie penda maendeleo ya watoto wake, nimemkataza hasiendi uku wala asipige simu kwasababu atakuja kupata laana bure mzazi anabaki kua mzazi ata kama amekosea. Au nimemshauri sivyo? yule baba mkwe iko 70+ kwasasa ana pressure ya kupanda asije akasababisha kifo chake bure.
sie nyumba yetu sala sala mzee alishafariki,na mama kishafariki lakini ote 4 tumesema hatupangishi wala kuiuza,na ote hatukai hapo sababu tunaamini si kwetu bali ni kwa wazazi wetu na itabakia hvyo hvyo kama kumbu kumbu tu ya wazee wetuLeo asubuhi mke wangu, amenipigia simu nimpe ushauri kuhusi hili jambo, kati ya Baba ake na kijana wake wa mwisho (aged 28) Tatizo liko hivi huyu kijana mdogo wake wife kapata wazo la kutafuta mke kwasabb umri unaenda bila kuanzisha familia, kazi alio nao sio zuri kivile ila inaweza kulisha mke.
Marehemu mama yao (mama mke wangu ) alivo fariki ali waachia nyumba ya urithi kutoka kwa babu yao, wanao pagisha kwa sasa wa ligawana vyumba kila mtoto kapata mgao wa chumba kimoja kimoja, yeye Baba yao kapata vitatu ambavyo ni self, kwa kudai kwamba yule alikua mkewe kwahiyo ana haki kubwa kuliko wao, hawakubisha kwa sabb ni baba yao mzazi.
Tatizo liko hapa huyu Mdogo wao wa mwisho mwezi hu katia nia ya kufunga ndoa, mahare kapambana na kalipia mwenyewe na ya lipokelewa bila hata msaada wa baba ake mzazi, ameomba Baba ake mzazi amuachie vile vyumba vitatu self, aishi pale na mke we kwa mda, badala kuvikodisha watu baki yeye avikodishe pesa ya pango atamlipa.
Baba amekata kata kata,.... hapo mke wangu ndo anataka kuingilia hi issue kwa kudai ile nyumba ilikua ya mama wao mzazi wana haki ya kuimiliki na kuitumia kifamilia kwa ussue kama hiyo, tena kibaya zaidi huyu baba licha cha kusitaafu kazi baada ya kifo cha mke we, kaoa mke mgine kwa makazi yale yale ya mama yao na wife na pesa ya kulisha huyu mke ina toka kwenye nyumba hiyo ya marehemu mama yao.
Jamani Wanaume mambo mengine tuone aibu mkewo hajamaliza hata mwaka kabrini umeoa kweli? inauma sana ila wife ni memshauri atulie aache jaziba ya kumiita Baba yake kua mbinafsi mwenye roho mbaya asie penda maendeleo ya watoto wake, nimemkataza hasiendi uku wala asipige simu kwasababu atakuja kupata laana bure mzazi anabaki kua mzazi ata kama amekosea. Au nimemshauri sivyo? yule baba mkwe iko 70+ kwasasa ana pressure ya kupanda asije akasababisha kifo chake bure.
Mkuu bado kakubeba sana yaani kitendo cha kukutafutia kazi tu kinatosha mimi ambaye sina Baba wala mama wala hiyo elimu ya 6 napambana kibabe tu hivyo hivyoMi mzee wangu nimemaliza 6 ht chuo hakutaka niunge, akanitaftia kazi mkoa mwingine nikajifunze maisha kwanza...
kitu alinipa ni godoro tu la kwenda kuanzia maisha...
siku Napanda basi akaniambia me and u are done, you are on your own, ww ni mtoto wa kiume ukapambane, ila ntakua nakuja kukutembelea kuona unaendeleaje...
nlimind sana bt now naelewa kwa nn alinitenda vile...Thank you Mshua for turning a boy into a Man...
once i settled, i never looked back, na sijawahi kuwazia mali zake ht kidogo...I will do the same to my kids, wacha wakue niwashangaze na roho zao...
Huenda nyie ote matajili na mume elimika unajua katika masuala ya urithi elimu pia inachagia kwa kiasi kikubwasie nyumba yetu sala sala mzee alishafariki,na mama kishafariki lakini ote 4 tumesema hatupangishi wala kuiuza,na ote hatukai hapo sababu tunaamini si kwetu bali ni kwa wazazi wetu na itabakia hvyo hvyo kama kumbu kumbu tu ya wazee wetu
Kiuchumi hamuitendei haki. Inabidi ipangishwe ili iweze kuingiza kipato. Ingekuwa kila nyumba duniani inaachwa tu kama kumbukumbu basi kungekuwa na magofu mengi sana mjinisie nyumba yetu sala sala mzee alishafariki,na mama kishafariki lakini ote 4 tumesema hatupangishi wala kuiuza,na ote hatukai hapo sababu tunaamini si kwetu bali ni kwa wazazi wetu na itabakia hvyo hvyo kama kumbu kumbu tu ya wazee wetu