Baba mkwe azimia

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
1,751
Reaction score
422
binti kaenda kutambulisha mchumbawake kwao. alipofikatu baba akaona dosari, maana kijana alikuwa mweusi tii,anamatege yaukweli na makengeza ya maana. achumba alipoona sura ya babamkwe imebadirika ikamubidi atabasam kidogo, lahaula! alikuwana mapengo
 
Hana meno yote ya mbele. baba akamuita bintie mwanangu hebu joo nje tuongee, binti akamjibu sematu hapahapa kwani mchumba wangu ni kiziwi.....baba chali akazimia {chezea kupenda?}
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…