kabisa itasaidia kulahisisha ulipaji wa madeni sana 😅inabidi tuongezee hii kama aina mpya ya malipo😁 Lipa kwa odds

Shule zinafunguliwa lini?Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magumu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa Mambo yangu bado siyo Mazuri na uwezo wa kumpa hiyo Milioni hakuna ila nina Nusu yake, Shida ni jinsi ya kumpigia simu na kumueleza inaonekana yeye anahitaji Milioni
Kwasasa anampigia simu mwanae na kumuulizia na Mke wangu kila siku ananiuliza umempigia simu Baba yani mpaka wakati mwingine nakua na hasira, Najiuliza Je, nimpigie simu nimwambie kiasi nilichonacho na Je, akigoma kuchukua nitafanyeje?
Naombeni Ushauri wenu maana wakati mwingi nakua na mawazo.
Ngoja harmful aje atupe miongozo 😁😬😬 Mlichana mkeka mapemaaa sanaa.. leo vipi
Mrudishie binti yake mwambie aache njaaHapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magumu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa Mambo yangu bado siyo Mazuri na uwezo wa kumpa hiyo Milioni hakuna ila nina Nusu yake, Shida ni jinsi ya kumpigia simu na kumueleza inaonekana yeye anahitaji Milioni
Kwasasa anampigia simu mwanae na kumuulizia na Mke wangu kila siku ananiuliza umempigia simu Baba yani mpaka wakati mwingine nakua na hasira, Najiuliza Je, nimpigie simu nimwambie kiasi nilichonacho na Je, akigoma kuchukua nitafanyeje?
Naombeni Ushauri wenu maana wakati mwingi nakua na mawazo.
Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magumu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa Mambo yangu bado siyo Mazuri na uwezo wa kumpa hiyo Milioni hakuna ila nina Nusu yake, Shida ni jinsi ya kumpigia simu na kumueleza inaonekana yeye anahitaji Milioni

Leo wasije wakampiga tenaaa 😅😅Ngoja harmful aje atupe miongozo 😁
Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magumu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa Mambo yangu bado siyo Mazuri na uwezo wa kumpa hiyo Milioni hakuna ila nina Nusu yake, Shida ni jinsi ya kumpigia simu na kumueleza inaonekana yeye anahitaji Milioni
Kwasasa anampigia simu mwanae na kumuulizia na Mke wangu kila siku ananiuliza umempigia simu Baba yani mpaka wakati mwingine nakua na hasira, Najiuliza Je, nimpigie simu nimwambie kiasi nilichonacho na Je, akigoma kuchukua nitafanyeje?
Naombeni Ushauri wenu maana wakati mwingi nakua na mawazohapa kuna mambo mawili. 1 mpigie simu baba mkwe umweleze hali halisi, na umshawishi akubali kupokea kiasi ulicho nacho. K kama akikataa kupokea kiasi hicho, 2 mrudish mkeo kwao ni hayo tu.
Nipo makini sana Leo nataka niingie mwakani kwa Amani 😅😅😅Leo wasije wakampiga tenaaa 😅😅
Hapo bado kabisa.Jiandae kulipa za uchakavu wa godoro.Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magumu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa Mambo yangu bado siyo Mazuri na uwezo wa kumpa hiyo Milioni hakuna ila nina Nusu yake, Shida ni jinsi ya kumpigia simu na kumueleza inaonekana yeye anahitaji Milioni
Kwasasa anampigia simu mwanae na kumuulizia na Mke wangu kila siku ananiuliza umempigia simu Baba yani mpaka wakati mwingine nakua na hasira, Najiuliza Je, nimpigie simu nimwambie kiasi nilichonacho na Je, akigoma kuchukua nitafanyeje?
Naombeni Ushauri wenu maana wakati mwingi nakua na mawazo.
Si ndiyo Jana kanitumia laki mbili 😅Hao ndio wazuri sasa😁