Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

utamsikiliza mumeo atakwambia cha kufanya!
Nimemuliza imekuaje huko nyuma kasemaje? kasema Mkeo unampa sana uhuru tabia hii itanifanya nisije kwako kama
nisivyokwenda kwa wanagu tena mwambie aje aombe msamaha na asirudie tena niliishia kuchekaa wallah...sasa naomba msamaha kwa kosa gani?
 
Ongea na hubby wako mjulishe kinachoendelea, pia kumbuka kuendelea kuvumilia ni kuwapa kibali waendelee kukucontrol. Ishi maisha halisi wakumbushe kuwa kuna mipaka, kwa kipindi hichi hawatakuelewa ila siku moja wataelewa jinsi gani wanatakiwa kuishi wawapo ugenini. Timua.
 
Mama sikiliza hapo kwa jicho la huyo mzee ni kwa mwanawe na hapa kwetu mke ni mtu wa kupita tuuu,wewe ndo wakupita siyo yeye,siku hizi mnajidanganya kwamba mambo yamebadirika,jifunze unyenyekevu mbele ya wakwe mama.Pia,mama huwezi jua mchango wa huyo mzee kwa mumeo toka anasoma.
Mkuu swezi kumsemea au niseme hujui mumewangu nimetoa nae wapi na mpaka leo,huyu baba alikua na hela chafu ila hakutaka kusomesha mwanawe wala alikua hataki watoto wa ndugu,mume wangu High school amesomeshwa na baba lakini Chuo nimemsomesha mimi,na sijaona baya ku kiss my kids na Mume wangu,kama haja penda ni shida yake na siwezi kujibana kwa ajili yake au whoever! yeye mbona ana chagua nani wakumuoa mwanawe na hakuna mtu anamuingilia?
ukienda kuposa kwake anakwambia unafanya kazi gani? una nyumba? unatoka kwenye famila Al nani? mzee wako kwenu mnajiweza? na anasema openly mtoto wangu haolewi na maskini wale pale wanamuozea..
 
Haukuwa na haja ya kumhag tena mumeo baada ya mazungumzo. Saa nyingine unaweza kufanya jambo sahihi lakini si kwa sehemu/muda muafaka.

Maneno kama ikumbukwe
.Baba ana wanawe na hawaongei
.Watoto wake wakike hawajaolewa kwa midomo yao
.Dada apike wanachotaka wao
.Huyu mzee anataka nimjibu nini
(Inashiria kuna kitu negative ktk kichwa chako..Just be positive siku 15 sio nyingi ni wiki mbili tu)
Unatamani waondoke hata leo
 
Msikilize mumeo anasemaje kuhusu hilo, baada ya hapo kunja uso kila unapomuona ajue kabisa hapo sipo, kafuata matibabu atibiwe aondoke halafu kwanini wamekuja wote nyumbani kabaki Nani? Wallahi Mimi ningewauliza, watano wote usawa huu halafu na gubu juu siku kumi na tano nyingi angeaga mwenyewe kwa roho safi
 
mkuu unasema nikae kama mfungwa nyumbani kwangu kisa Baba mdogo wa mumewangu amesema tusifanye hiki na kile wakati yuko na wanawe na wamegombana kwa kuingilia mambo yao?
ivi mtu inakuwaje unakwenda kwa watu halafu unakua mkavu yani wewe mgeni na sheria juu?
Yani Baba Mzazi wa mumewangu na mamake wakija kwangu staki waondoke lakini huyu Lahaula wala Kuwaah...
 
Unatamani aondoke hata leo
 
Hapo nikwenuu sheria kwake chaaa. Mkienda kwake msikiss hahaaaahaa
ahahah Kaniwacha hoi mie,anasema mnadekeza watoto kama wale wenzenu kule kujitia uzungu tuu, mtoto akikosea mpige sio kumuita nakuongea nae charaza fimbo mpaka akae sawa.lol
 
Msikilize mumeo anasemaje kuhusu hilo, baada ya hapo kunja uso kila unapomuona ajue kabisa hapo sipo, kafuata matibabu atibiwe aondoke halafu kwanini wamekuja wote nyumbani kabaki Nani? Wallahi Mimi ningewauliza, watano wote usawa huu halafu na gubu juu siku kumi na tano nyingi angeaga mwenyewe kwa roho safi
hahahah siku 15 tena wanasema kama dr amemaliza bora tukae japo kidogo tubadilishe hali ya hewa,sikujibu kitu,tena watu wa tano wakubwa sio watoto,hawa ondoi hata pini mpaka kitanda wafanya kazi wana watandikia,wamewaona wafanya kazi wangu wana Smart phones,eeeh angalia malezi yenu yalivyokua mabaya mfanyakazi ana cm ya maana sasa subiri awapande kichwani! mie nimeshangaa tuu manake just 4days uko kwangu umekusanya details zote na unaongea kwakujiamini as if my hubby ni mwanawe wakumzaa au alichangia hata mia ya school..
 
Kurudia kuhug wakati mtu mzima ameonesha hajapenda ni dharau na unaonekana wewe ndo mwenye pesa kuliko mumeo na kusema ulikomtoa ni masimango na ni kawaida yenu wanawake ila heshima ni kitu cha bure.Mimi nasistiza kuhug mbele ya wazee tena wageni hawajazoea mambo hayo si sawa na kurudia tendo ambalo mzee hajapenda na wewe umejua hajapenda na ukarudia kuhug ni kosa kubwa,ningekuwa mimi ndo mumeo nisingekuelewa.Umechagua utwambie mazuri yako na mabaya ya baba ,ungetwambia na mabaya ya kwako ingekuwa mujarabu.
 
sasa wewe kwanini hug zako unazitoa kwa upendeleo? na mgonjwa gani anasindikizwa na ukoo mzima jamani nyie kabila gani?
Unajua mkuu mie sijaona tabu wao kuja watu wa 5 nyumba kubwa inatoshaa ila kunipangia sheria nyumbani kwangu sipendi,na ndugu wa mume sikuzote wanapenda tafran ila kwangu haipo,kuna wakati ndugu wanakuja wanaka mwezi au zaidi na mumewangu mie sio kama ndio mtoto mkubwa no ila basi wanaona hatujali unakuja njoo nenda hospital ukimaliza ondoka hatuna tatizo na mtu..
 
Mkuu swezi kumsemea au niseme hujui mumewangu nimetoa nae wapi na mpaka leo,huyu baba alikua na hela chafu ila hakutaka kusomesha mwanawe wala alikua hataki watoto wa ndugu,mume wangu High school amesomeshwa na baba lakini Chuo nimemsomesha mimi,na sijaona baya ku kiss my kids na Mume wangu,kama haja penda ni shida yake na siwezi kujibana kwa ajili yake au whoever! yeye mbona ana chagua nani wakumuoa mwanawe na hakuna mtu anamuingilia?
ukienda kuposa kwake anakwambia unafanya kazi gani? una nyumba? unatoka kwenye famila Al nani? mzee wako kwenu mnajiweza? na anasema openly mtoto wangu haolewi na maskini wale pale wanamuozea..
huyo baba it seems ni mbabe sana...hata kama ingekua mimi nisingeweza kumhimili but nkushauri kitu..kuwa mvumilivu tu na ujishushe,kwa hizo siku chache thn mda ukiisha wataondoka thn uendelee na maisha yako..
na kama ndo tabia za hao dada waache hivohivo ipo siku watavuna walichopanda na watazeekea kwa baba yao bila mume wakisubiri tajiri.
inakera kwakweli!!
 
Back
Top Bottom