Baba, Mama pamoja na watoto wote ni marubani

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,213
Reaction score
12,531
Ni jambo la kawaida lakini kwa fani hii inayohusudiwa sana hili ni jambo la kuvutia kwa vijana,
Familia hii huko Delhi wote ni marubani baba mama mtoto me mtoto ke wote fani moja.good.
ntd-pilot-family-640x359.png

The only Indian family where mum, dad, daughter and son are all Pilots; 'The Flying Family' - NTD Inspired

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna cha ajabu hapo?.

Kuna Msomi mamboleo mmoja aliniambia kuwa urubani ni Professionalism. Nilishangaa sana, kama urubani ni u-professionalism bila shaka hata sie waendesha baiskeli na wale waendesha Magari, Pikipiki nk ni professionalism. Utofauti upo wapi?.

Kuna Baba mkulima, mke mkulima, watoto wakulima mpaka wajukuu wakulima. The same kwa wasanii, wanasiasa, wacheza soka nk.

Tusione ajabu, Ni kawaida tu.
 
una chembechembe za u`genius mkuu,ni wachache sana humu tutakaofanikiwa kuelewa ulichokimaanisha,ingawa mimi ni mmoja wao,watu wanapenda kukuza mambo hata vitu vya kawaida wanataka vionekane ni vya ajabu!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni ruhusa masikini kujifariji
 
Back
Top Bottom