Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 856
- 1,650
Nawewe kumbe mjinga kama huyu tutusa chawa wa Diamond, Polepole aliacha ukatibu wenezi miaka mingapi nyuma? Polepole anamiaka 4 kaisha pita waenezi kama wamne,inamaana amri ya Polepole ilikuwa ni sheria ilishindwa kutenguliwa, kwakweli mwaka huu tutasikia mengi.Anachokisema baba levo ndicho kilikuwa kunafanyika kipindi kile kwa baadhi ya majibu ya upanzani
Sioni tatizo hapo
Samia, kikwete, rostam, uvccm wameshindwa huyu ndio ataweza ku-battle na polepole mtaalamu wa kunyatia viziwi
Waliovuruga uchaguzi wa 2019 na 2020Nawewe kumbe mjinga kama huyu tutusa chawa wa Diamond, Polepole aliacha ukatibu wenezi miaka mingapi nyuma? Polepole anamiaka 4 kaisha pita waenezi kama wamne,inamaana amri ya Polepole ilikuwa ni sheria ilishindwa kutenguliwa, kwakweli mwaka huu tutasikia mengi.
Pole pole alikuwa tume ya uchaguzi?Waliovuruga uchaguzi wa 2019 na 2020
Hapo unamteteaje polepole hujui polepole alikuwa sehemu ya madalali wa JPM kununua wapinzani na kuwapa vyeo?
Au ww ni mgeni kweny siasa za bongo?
Ni ujinga mtupu kumpa airtime MTU kama polepole
Watu kama polepole ni wakupuuzwa kwasbb wao ndy walio kandamiza zaidi upinzani
KigomaHuyu yawezekana ana kiwango Cha juu zaidi Cha unafiki na upumbavu
Huyu nae ni wa kumsikiliza? Section yake ni uchawa tu ndipo he fitted well!! Imagine mtu hajui hata maana ya neno muswada!!!
Huku kagusa pasipo na patamletea shida sana