PreGE2025 Baba Levo apokelewa Kigoma, asema hatutapiga kura kwa Rais Samia, bali tutarundika kura 2025

PreGE2025 Baba Levo apokelewa Kigoma, asema hatutapiga kura kwa Rais Samia, bali tutarundika kura 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
"Hakuna Kazi Nyengine Nitakayoifanya Zaidi Ya Kumsaida Dkt. Samia Suluhu Hassan Ili Akija Katika Jimbo Hili La Kigoma Mjini Sio Kumpigia Tu Kura Tumrundikie"

Baba Levo ameyasema hayo jana Mei 20, Mkoani Kigoma wakati alipokutana na Wanachama wa CCM na kukabidhiwa Kadi ya Uanachama na kutambulika kama Mwanachama wa Chama hicho na si ACT Wazalendo huku akiwa na nia ya Kugombea Ubunge Kigoma Mjini.


 
Huyu si ndo alikuwa analalamika kipindi kile kuwa aliibiwa kura hadharani amesahau ?
Kweli njaa ni mbaya sana.
 
Kule Kigoma mjini nimeona baba Levo amepokelewa kwa kishindo na matangazo kama yote. Hapa ndio kama taifa tunapoanza kujichanganya wenyewe. Huyo bwanamkubwa tayari amekwisha onyesha nia ya kutaka kugombea ubunge katika jimbo hilo.

Kwa upeo wetu, Baba Levo ni likely kabisa akatangazwa mshindi, Nini kitakua matarajio ya wananch? Mwana kulifind mwana kuligate, stay tuned.

Tunawachagua wabunge wanakwenda mjengoni, mbunge analeta hoja ya kufungwa vipimo katika ukumbi wa bunge eti zifungwe mashine za kuwapima wabunge ushoga na ile ya wama wamoja,
Are we serious.

Mtu umechaguliwa mbunge majukumu yako huyajui, jamani
 
Back
Top Bottom