GE2025 Baba Levo ajitambulisha Bungeni, atamba, "niliangusha Mbuyu"

GE2025 Baba Levo ajitambulisha Bungeni, atamba, "niliangusha Mbuyu"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo alivyojitambulisha Bungeni leo Novemba 11, 2025.

Hata kama umeangusha ndege hilo halituhusu,ila cha kufahamu hiyo sii tiketi ya ubora zaidi yamtanzania mwingine,sii tiketi yaufisadi,sii tiketi ya kupitisha sheria za hovyo kwa kujua au kwakutumiwa na wenye maslahi binafsi.Hivyo ni imani yangu kuwa pamoja na sarakasi za chafuzi,ulitakiwa kwanza uwe mwenye aibu hata kiasi cha kuficha sura.Ila nijuavyo kwa tanzania ilipofika uchawa ni ngazi na daraja ya mafanikio kwa chawa na washirika wao,ila cha kujua muda ukuta na tanzania ipo kwenye mkwamo tayari.
 
Alieangusha mbuyu yeye au mbunge wa ccm aliepita nb kwa tume hiisio ya kujisifia
 
Huyu mpuuzi alisema kuwa anatamani kumzalia Diamond watoto mapacha
 
Back
Top Bottom