Jirani zangu wawili wanawala binti zao wa kuwazaa wenyewe. mmoja ni mhehe mama ilibidi afungashe binti hadi amezaa. mwingine ni mswahili siri ilipogundulika waliuza mji wa kahamia kibaha. .................................................... ................. wa tatu alivunja rekodi mama mzazi alikufa na maradhi baba akawa anamla binti akampa maradhi na binti alikufa na tukamzika hawa ni wagogo. ......................................................................... Akina baba ni nini hiki??