Baba kundambanda the activist

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,551
Reaction score
1,777
salaam wakuu...wiki iliyopita nilitumiwa nyimbo kama nne hivi za msaniii mmoja anaitwa baba kundambanda...jamaa ameongea maneno makali sana lakini pamoja na yote ameongea ukweli......mi nasema huyu ni zaidi ya msaniii....
nina ku attach mzigo hapo chini huenda nanyi mkapendezewa nazo
 

Attachments


Aiseh! Mtwara kuna zaidi ya gesi.
 
Naona wengi hawajamjua, huyu ni yule msanii wa vichekesho kupitia kipindi cha Vituko show cha channel 10, huwa anatumia lafudhi ya Kimakonde.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…