Baba katuachia nyumba nyingi lakini zote ni mikopo

Luthertz

JF-Expert Member
Mar 7, 2018
206
830
Tuna firka za kimaskini sana. Tunakopa mikopo lukuki ili kujenga madaraja na barabara. Mwisho wa ngwe tunaiambia jamii kwamba oneni maendeleo niliwapa, nimejenga barabara, madaraja n.k. Lakini vyote hivyo ni mikopo.

Baba mkweli ni yule anayetumia kipato chake halali na kujenga nyumba. Ni heri baba anayeacha kajenga nyumba mbili tu kwa jasho lake kuliko baba anayeacha nyumba 20 lakini zote ni mikopo.

Kipindi cha Mkapa walau uongozi ulielewa nini maana ya deni la taifa. Alipoingia timu mchwa huyo hakuelewa kabisa national debt ni nini. Sasa tuna timu bush, huyu mtata. Ananunua ndege kwa cash, anajenga daraja kwa mkopo. National debt inakuwa kwa kasi kubwa mno.
 
Baba ameamua kukopa ili mtoto wake wewe unufaike. Hivyo acha kumlaumu cha msingi wewe mpe sapoti katika kulipa tu.
 
Tuna firka za kimaskini sana. Tunakopa mikopo lukuki ili kujenga madaraja na barabara. Mwisho wa ngwe tunaiambia jamii kwamba oneni maendeleo niliwapa, nimejenga barabara, madaraja n.k. Lakini vyote hivyo ni mikopo.

Baba mkweli ni yule anayetumia kipato chake halali na kujenga nyumba. Ni heri baba anayeacha kajenga nyumba mbili tu kwa jasho lake kuliko baba anayeacha nyumba 20 lakini zote ni mikopo.

Kipindi cha Mkapa walau uongozi ulielewa nini maana ya deni la taifa. Alipoingia timu mchwa huyo hakuelewa kabisa national debt ni nini. Sasa tuna timu bush, huyu mtata. Ananunua ndege kwa cash, anajenga daraja kwa mkopo. National debt inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Maji ya shingo, habari za ndani eti wameongeza hela kwenye bei ya mafuta ili kufidia hela ya manunuzi ya korosho
 
Habari za ndani. ...braza usijekuwa ndugu yake Chahali mana anapenda kuaminisha watu neno habari za ndani kumbe anatutia changa
 
Back
Top Bottom