NINACHOAMINI NI:-
Ukiwa Mcha Mungu na Mwombaji kweli,Mwenyezi Mungu atakupa Mume/Mke mtakayekuwa na Imani moja kwake na hata kuabudu pamoja na Mnayefanana/Mnayeendana na HAKIKA hautapata majuto.
NILICHOJIFUNZA/NILICHOSHUHUDIA:-
Ukimuoa/Ukiolewa na mtu yeyote ambaye hakuwa wakwako (sawasawa na mapenzi ya Mwenyenzi Mungu) basi hiyo ndoa haitakosa Majuto.