Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Diamond msaidie mzee.
Naomba kuuliza, ni jukumu la mtoto kumtunza mzazi wake au ni jukumu la mzazi kumtunza mwanaye aliyemleta hapa duniani kwa raha zake? Tuache fikra mgando, si jukumu la Diamond kumhudumia baba yake ila ni hisani kwa Diamond kumhudumia baba yake. Na hii iwe fundisho kwetu sote, tusiwategemee watoto mwache naye ana vipaumbele vyake.udaku mwingine bana...
Huyu Baba hashindi njaa kwa sababu mwanae ana pesa.
Hayo ni maisha na bado anaonekana kijana...
Ashike jembe hata yeye atatoka tu.
You are very right mkuu, watu waache kukimbia majukumu yao halafu wanakuja kujiliza liza kwenye media.Huyu mzee hata hio kuumwa miguu naona kama anaZuga ili apate huruma.
Hii ni mfano kwa wanaume wanaowakimbia watoto wao!!
Laana zina principles bana, haziji kizembezembe.Laana hiyooooo inakuja......
Kama kuna mwanaume ana mpango wa kutelekeza mimba na mtoto ajifunze kwa huyu Baba Mond.Hili fundisho tunalipata wazazi ambao watoto wetu bado wadogo.
Sio tunadinya halafu tule kona, tudinye na tuwe tayari na majukumu ya matokeo ya Kudinya.
Vinginevyo ndio haya ya mzee Diamond.
Mzee anadhalilika tu ilihali mwanzo alikimbia majukumu.
Mama Diamond alifuata mfumo wa wanawake wa Kijapan....
Labda kahaidiwa gawio baada ya mauzo. Amechemka sana, yeye anatakiwa kuitisha vikao vya ukoo kulijadili hili kifamilia na sio kutoa headlines za kijuha.Kama kuna mzazi juha huyu jamaa anashika namba moja...mzazi mwenye kujitambua hawezi kukubali huu upuuzi wa kuhojiwa kwenye gazeti la udaku mambo binafsi yanayohusu familia yake
Huu ni upuuzi na upumbavu wa kiwango cha juu mno
Hivi kalipwa bei gani?
Hivi anajua jamaa wametengeneza bei gani kupitia hiyo habari
Huyu hajitambui na atafakari alipokosea kuliko kuja kulialia kwenye vyombo hovyo vya habari...huku ni kujidhalilisha
Hana sifa ya kuwa Baba. Baba kwanza ana hekima na busara, huyu hii imemtokaHuyo anaonesha ni teja kama si teja basi ni tapeli lisiloridhika.
Mkuu, umeandika kwa hekima sana! Huyu Diamond, mimi nimeshamuona kama mpumbavu tu, kuna watoto
wa kiume wengine sisi hatuna baba (tunaumia) na kuna wengine walikosana na baba zao sana tu, na huwa wanawasamehe na kuwasaidia. Na kuna wengine walipoteana na baba zao kitambo huwa wanawatafuta
mpaka wanawapata na kama walishafariki huwa wanaumia
sana! Sasa huyu Diamond anamwacha baba yake bila ya msaada hivi ni kosa gani la mzee huyu ambalo halipaswi kusamehewa? Mzee anaishi maisha magumu, Diamond anajidai kutoa
misaada kwa watu baki bila ya kumjali baba
yake sasa ni huruma gani aliyonayo kwa watu baki kuliko
baba yake mzazi ambaye Diamond
bado anatumia jina lake katika majina yake
matatu. Basi kama Diamond hampendi baba yake, aache kabisa kutumia jina la baba yake, atumie jina la ukoo wa mama yake halafu huyu mama Diamond naye ni mtu wa majungu na huyu Diamond hata aende wapi huyo mzee ndio baba yake ni busara akamkumbuka!
Babe teh teh tehkwa nini unamwita Mzee? kwanza inaonekana hata yeye ni msanii...
mtu anayeshinda njaa na kiduku kichwani ni uzembe wake...
sq